Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,143
- 107,704
Hawa mbwa wanatapatapa imagine kaenda Mozambique kasaini LNG thena anakuja Tanzania kusaini refinery!
Tanzania Ina mikoa 26, Kenya Ina counties 47. Mikoa ya Tanzania Ni
mikubwa Na population kubwa kuliko counties za Kenya. Sasa wewe ukilinganisha mikoa vs counties Badala YA nchi nzima utakuwa ukijitekenya ukicheka Mwenye we manake Ni Kama kulinganisha uzalishaji wa watu wawili Vumbistan vs mtu mmoja Kenya.
You have any extra qns?Fika world cup ndio utupigie kelele hapa ,
Vile unaongea mtu anaweza Dhani Tanzania is Senegal or Egypt kumbe ni level Moja na Burundi Uganda!!!
Bure kabisa
mbna kama hii ndo inaenda kua funika kazi
fake data, i know that dude ni propaganda machineJamaa wanarecord mpaka on transit kama tourists
View: https://x.com/Adambrv/status/2049404801490796633?t=fePNdgpP-0GetE7MlrhVxA&s=19
Anajenga nani, kwa bei gani? That's what you said about the expressway and the sgr ila kwa sasa zote zinafanaya kazi.Anajenga nani malaba? Kwa Bei gani?
Kwenye kuweka Umeme hiyo Reli ya mchina kwani mmeshamaliza kulipa deni? Maana Reli Iko chini ya uendeshaji wa mchina hiyooo... Sasa mturuki anaingia vipi kuweka Umeme nywele ngumu?
Bongolala our sgr can be electrified anytime we feel there's a need to do so. At the moment, our electricity demand can't allow us to do so. Remember Kenya produces more electricity than your country but due to our high demand, we still aren't able to electrify ours.
Nyinyi mnatengeneza umeme kidogo but due to your low electricity demand, you managed to electrify your sgr. Don't get emotional bongolala. We have no business getting jealous of a neighbour who produces less electricity and has lower demand for the same than us!
Bongolala, Kenya's sgr was designed in a way that it allows electrification in its current status without much upgrade.Kwani mnahela ya kufanya upgrade?
Vipi electric train si mlisema hazifai kwa mizigo 🤣🤣🤣🤣
Anyway tushawazoe 😭😭😭😭
tunafurahi kuwaona mkifanya upgrade ila esia yenu haisemi popote kuhusu electric trainView attachment 3581461
Kwahiyo mkimaliza na ya malaba ambayo inaendelea kuwa jointed tracks mta upgrade Tena kwenda kuwa ya umeme
it wasnt designed for electricity, BTW dont think its all about building poles, every 50km, train has to switch power stations in reference Tanzania had to build a brand new DAMBongolala, Kenya's sgr was designed in a way that it allows electrification in its current status without much upgrade.
View attachment 3581626