Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,762
- 4,905
- Thread starter
- #581
ONDOA VIFUNGO NA KURUDISHA UBAYA KWA ALIEKUFUNGA
Andaa
👉Ndimu 7
👉Sindano 7
Kila siku usiku kabla hujalala kata ndimu zote 7 kisha jipake ndimu hizo zote mwilini mwako ukimaliza unganisha hizo ndimu yaani chukua vipande viwili viunganishe kwa kuzichoma na sindano hakikisha inatokea upande wa pili. Fanya kwa ndimu zote.
Elewa hizi ndimu zipo 7 ukizikata zitakua vipande 14. Tumia vipande 14 vyote kujisugulia anzia utosini eneza mwili mzima ukimaliza fanya kama unazirudishia ndimu kwa kuzichoma na sindano. Weka pembeni
Lala asubuhi zichukue kazitupe jalalani.
Utarudia kufanya hivi kwa siku 7 kila siku uwe na ndimu 7 na sindano 7.
Siku ya 7 usiku ukishafanya zoezi hili utakapokua umeweka pembeni ndimu na sindano zako
Chukua chumvi ya mawe punje 7 weka ktk kitambaa au karatasi nyeupe. Weka chini ya uvungu unaolalia asubuhi ukishatupa ndimu rudi andaa maji ya kuoga weka chumvi zako oga.
Zingatia
Kutia nia kila unapoandaa ndimu zako mfano sema alienifunga simjui na kifungo alichonifunga pia sikijui kupitia Asia hii naenda kufungua kila kifungo nilichofungwa najitoa ktk vifungo vya kichawi vifungo vya njia panda, vifungo vya chooni vifungo vya kaburini, vifungo vya baharini na vifungo vya jalalani vifungo vya kwenye miti mikubwa. Napia Asili inaenda kumdhihirisha kwa aibu na pigo alienifunga. Maneno hayo unaweza kuongezea kulingana na shida zako.
Na ukiwa unaogea chumvi pia tia nia ya kujitakasa dhidi ya vifungo vya kichawi na kuupa nuru mwili wako..
ASILI INAPONYA ASILI INA NGUVU