Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani mnahela ya kufanya upgrade?
Vipi electric train si mlisema hazifai kwa mizigo 🤣🤣🤣🤣
Anyway tushawazoe 😭😭😭😭
tunafurahi kuwaona mkifanya upgrade ila esia yenu haisemi popote kuhusu electric train
Kwahiyo mkimaliza na ya malaba ambayo inaendelea kuwa jointed tracks mta upgrade Tena kwenda kuwa ya umeme
 
Fika world cup ndio utupigie kelele hapa ,
Vile unaongea mtu anaweza Dhani Tanzania is Senegal or Egypt kumbe ni level Moja na Burundi Uganda!!!
Bure kabisa
 
Osr ndio nini? Show us proof that Dar generates more than Nairobi sio unajitungia story alafu unajijazia. Halafu ukubwa wa county ama province ni population sio land mass maanake kawaida zile country subdivisions zenye eneo kubwa huwa na uzalishaji mdogo kisa population density huwa sparse. Nikitumia hii akili yako nitasema Canada ni nchi kubwa kuliko India ama Angola ni kubwa kuliko Nigeria. Kwa mfano, Kenya Turkana ndio kubwa kieneo, kwa uchumi ndio maskini zaidi. Mombasa ndio ndogo kieneo ila kwa uzalishaji iko miongoni mwa za kwanza. Tabora ina eneo la 76000 sq. km ila population yake ni 3,391,679 - which bigger than all Kenyan counties except Nairobi. Turkana ina 98k sq. km ila population yake ni 997,976. Utakuwa huna akili kulinganisha uzalishaji wa watu 3,391,679 na wa watu 997,976. Chukua County za Kenya mbili ambazo ukiunganisha zinafikia takriban population ya Tabora alafu linganishe uchumi. Kwa mfano: -
1. Kiambu County (2,417,735) + Murang'a County (1,056,640) = 3,474,375
2. Kakamega County (1,867,579) + Uasin Gishu County (1,163,186) = 3,030,765
3. Mombasa County (1,190,987) + Nakuru County (2,162,202) = 3,358,189

Hizo ni mifano tu nimekupa. Unganisha hizo Counties alafu uniambie kama Tabora inaweza zifikia kiuchumi.
 
Ngoja tuone hapo June endeleeni kujititimua! The wave is unavoidable! mara maize kutoka Zambia mara umeme kutoka Ethiopia mara gas kutoka Mozambique! As long as Museveni yupo upande wetu Ukunduni hamtoboi!
Mbona sijawai ona Mkenya akilalamika ati ooh, Tanzania wamekataa kutuuzia bidhaa ila kila mwaka lazima nione Watanzania wakilalamika ati ooh, Kenya wamenunua kula badala ya kununua kwetu? 🤣 🤣 🤣
 

Unaona ushabadilisha ,
Point uliyoleta ni ukubwa wa eneo versus revenue haikuwa population versus revenue .
Hapa tunaongelea administrative areas , mfano kwa Kenya mko na county sisi tuko na regions , huwez lazimisha tuunganishe regions mbili ili kufidia revenue yenu.
Kwa point ya hapo juu, dhahiri unakubali maendeleo Kenya yako concentrated kwenye maeneo machache tu wakati Tanzania maendeleo yanasambazwa kona zote.
 
Kwani administrative area inajali population?
Kama ni wajir au mandera lazima system ya governance itakuwa sawa na Nairobi na haitajali kuwa Nairobi ndo Iko populated otherwise utuambie kuwa Nairobi sababu Ina population kubwa basi itakuwa na governor wengi kuliko mandera au wajir.
Hivyohivyo kwa Tanzania regions zote system ya governance ni sawa , kuwa mkoa unakuwa chini ya regional commissioner na kunakuwa regional administrative secretary, then decentralization into districts.😭😭
 
Constructor is already on site at Moi Stadium Kisumu. There's a visible ongoing work.

 
Ebu nionyeshe nilipoandika ukubwa wa eneo ndio tuendelee na mjadala.

Kwa point ya hapo juu, dhahiri unakubali maendeleo Kenya yako concentrated kwenye maeneo machache tu wakati Tanzania maendeleo yanasambazwa kona zote.
Anaye badilisha mjadala ni wewe na hii hapa ni proof.
 
Ebu nionyeshe nilipoandika ukubwa wa eneo ndio tuendelee na mjadala.


Anaye badilisha mjadala ni wewe na hii hapa ni proof.
Jamaa huwa anabadilika akishapatwa😂😂.

I'm still waiting for him to post an evidence that Dar collects more OSR than Nairobi which he was claiming in the morning.
 

Anajenga nani malaba? Kwa Bei gani?

Kwenye kuweka Umeme hiyo Reli ya mchina kwani mmeshamaliza kulipa deni? Maana Reli Iko chini ya uendeshaji wa mchina hiyooo... Sasa mturuki anaingia vipi kuweka Umeme nywele ngumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…