concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Mbeya jiji chanzo kikuu si mazao ,jielimishe kidogo hivi unajua kuna mbeya cc na mbeya DC .Basi wauza mchele wanatuzidi kimapato and it for obvious reasons.. ila ki miundombinu hakuna kitu, ni aibu tupu. Ni yale yale niliyosema Mbeya ni kijiji kikubwa chenye watu wengi.
Bongo tunafanya vitu vingi kwa siasa tu kaka. Mbeya haukapaswa kupewa hata hadhi ya Town, wafix kwanza miundombinu ndio wawafkirie kuwapa walau hadhi ya Town. Kwenye suala la hadhi ya jiji inafanaa kuwafkiria baada ya miaka 20 labda.
Mbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?Mbeya jiji chanzo kikuu si mazao ,jielimishe kidogo hivi unajua kuna mbeya cc na mbeya DC .
Mbeya DC inaizunguka mbeya karibia pande zote na ndo inahusika na mazao , ni kama ilivyo dar kwa pwani .
Sasa wewe tuambie pale mbeya mjini mashamba ya Mchele yako wapi?
Hiyo ndiyo D by D policy kaka? Yaani Halmashauri ikusanye pesa kisha ipeleke TAMISEMI? Kaka kaka nakuita tena mara ya tatu.Sasa tuanzie hapo , kama shughuli za kiuchumi mbeya inaonesha kuwa inakusanya sana kuliko Tanga.
Kwa hivyo vigezo vingine nilitegemea uweke data.
Unajua mpaka Moshi inafanywa kuwa category b kwenye matumizi yake fedha ni sababu Ina mapato na hayatoshelezi shughuli za kuendesha manispaa ya Moshi.
Moshi inachangiwa na serikali kuu kujenga barabara za mitaani kupitia tarura ila mbeya inatakiwa kutoa pesa kwenda tarura kwa ajili ya barabara za ndani.
Category a zote hazipati hela ya tarura kwa ajili ya barabara, hivi unatakiwa uvijue kabla ya kujitapa .
Kaka mashine za kukoboa mpunga na mashine za kupukuchua mahidi hazilipi gawiwo kwenye jiji? Je, vipi kuhusu maduka ya pembejeo hayalipi kwenye halmashauri? Tukiongea kilimo tunaongea mnyororo wa thamani kaka.Mbeya jiji chanzo kikuu si mazao ,jielimishe kidogo hivi unajua kuna mbeya cc na mbeya DC .
Mbeya DC inaizunguka mbeya karibia pande zote na ndo inahusika na mazao , ni kama ilivyo dar kwa pwani .
Sasa wewe tuambie pale mbeya mjini mashamba ya Mchele yako wapi?
Wewe ndo utuambie kuwa chanzo chake kikuu ni Mchele umeitolea wapi?Mbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?
Tunaomba utuambie kwa ushahidi barabara ipi imejengwa mbeya kutoka na mapato ya Halmashauri. Hii kaka umetupiga. For your information TARURA haipati pesa toka Halmashauri.Sasa Moshi inategemea pesa zitoke serikali kuu kwa ajili ya barabara utalinganisha na mbeya ambayo inatakiwa itoe pesa zake kwa ajili ya barabara za tarura. Vitu vingine mnapinga tu ila hiyo Moshi yako ukiipandisha kwenda category a hata madiwan itashindwa walipa
Kuna hotels kweli mbeya jamani.? Service lavy za viwanda.? Kweli mbeya kuna viwanda kaka.? Sheli.? Nadhani mbeya hivi vitu ni kama hakuna kabisa. Ujenzi.? Huu ujenzi ni ujenzi wa nini mkuu.?Wewe ndo utuambie kuwa chanzo chake kikuu ni Mchele umeitolea wapi?
Mimi nimekuambia vyanzo vikuu vya jiji la mbeya mazao hayapo bali ni vitu kama hotel levy, service levy za viwandani,sheli na ujenzi na ndo vyanzo vikuu vya manispaa na majiji yote.
Sasa kama Moshi inakusanya kidogo kuliko mbeya inamaana Ina hotel, viwanda ,maduka , parking chache kuliko mbeya.
Na ndo maana Moshi inadondokea kwenye category b ya manispaa sababu haijitoshelezi kuna vitu inabidi inchangiwe Toka serikali kuu kama bajeti ya tarura
Ooh Kumbe kama kuna maduka mengi ya kilimo Ina maana ni biashara sio kulima mahindi ni sawa na kusema pwani inategemea kuuza cement kwa ajili ya mapato yake.Kaka mashine za kukoboa mpunga na mashine za kupukuchua mahidi hazilipi gawiwo kwenye jiji? Je, vipi kuhusu maduka ya pembejeo hayalipi kwenye halmashauri? Tukiongea kilimo tunaongea mnyororo wa thamani kaka.
Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.Ooh Kumbe kama kuna maduka mengi ya kilimo Ina maana ni biashara sio kulima mahindi ni sawa na kusema pwani inategemea kuuza cement kwa ajili ya mapato yake.
Kwenye category za mapato maduka hayadondokei kwenye mapato yatokanayo na kilimo.
Mashine ya kukoboa mahindi ni kiwanda vilevile ila tozo zake ni tofauti na mkulima.
Mashine zitalioa service levy , corporate tax ,sdl na hata hivyo kwa mbeya si kati ya majiji ambayo vyanzo vyake vikuu ni mashine bali ni kama leseni,service levy na mabango kama ilivyo kwa dar
Ndo maana nakuambia kabla ya kupinga unatakiwa uwe na evidence, sio maneno , vyanzo vikuu kwa karibia manispaa na majiji yote sio mazao ni service levy na leseni .Kuna hotels kweli mbeya jamani.? Service lavy za viwanda.? Kweli mbeya kuna viwanda kaka.? Sheli.? Nadhani mbeya hivi vitu ni kama hakuna kabisa. Ujenzi.? Huu ujenzi ni ujenzi wa nini mkuu.?
Haya yote uliyoyasema bado yanatokea kwa uchache sana Mbeya ukilinganisha na Tanga au moshi hasa kwa kipindi hiki.
Anyways Mbeya ni kijiji kikubwa tu na sio vinginevyo.
Ndo maana na Mimi nataka unielekeze mashamba ya mpunga yaliyopo mbeya mjini au jiji.Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.
Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Niambie mashamba yako maeneo gani hapaKaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.
Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Jiji kama dar linaishi kwa leseni,parking,hotel levy na service levy na leseni na service levy ni 70% ya mapato ya dar .Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.
Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Wewe unaropoka na hujui unachoandika.Vigezo hivi vinaitupa nje Mbeya, Mbeya ni shamba la nchi
2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.
3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri
4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
Unaweza nitajia viwanda vitano vikubwa vilivyopo moshi ? Tulinganishe na mbeya jijiKaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.
Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Ebu nitajie viwanda vyuo na shule kubwa Tano Tano zilizopo Moshi tulinganishe na mbeyaMbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?
Hata Dar kwani Kila sehemu Kuna miundombinu mizuri? Mbeya ni kubwa na haipewi attention sana na Serikali lakini haiondoi ukweli kwamba ni Jiji la Uchumi.Basi wauza mchele wanatuzidi kimapato and it for obvious reasons.. ila ki miundombinu hakuna kitu, ni aibu tupu. Ni yale yale niliyosema Mbeya ni kijiji kikubwa chenye watu wengi.