Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only 24% of Tanzanian are connected to the 1350 megawatts national grid compared to 70% in Kenya.😛😀😱😱🙄🙂😀😀😀😛
1750MW so add kinyerezi1 180MW add again kinyerezi2 300MW add coal mchuchuma 600MW etc
 
Kuna joint moja ya kaligraph jones na Young killer Msodoki bonge Moja la pini [emoji441]
 
these motherfuckers call our country ldc at the same time they come in to live as tanzanians....shame on you kenyans.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asira itakuua kijana mdogo. Tanzania is an ldc, imeandikwa na wino hata uwe na kifutio cha aina gani hamwezi futa jina yenu kutoka pale. Ni bidii yenu itawatoa, sio kupiga kelele hapa jf
 
Asira itakuua kijana mdogo. Tanzania is an ldc, imeandikwa na wino hata uwe na kifutio cha aina gani hamwezi futa jina yenu kutoka pale. Ni bidii yenu itawatoa, sio kupiga kelele hapa jf
Vipi wakenya 71 wamekimbia njaa?
 
Hao jamaa wa noble Victoria wanahela yakutosha mana ilo jengo limeinuka halina miezi sita na wanafikia floor ya 16
CRJE hao ,hawa jamaa wana speed sijawai ona ndio hawa jamaa walioikimbiza MNF SQUARE , speed yao ESTIM hawaingii ndani
 
Uliwahi nyimwa usizitume?
Tuma tuone kwan sh ngap
Nilikuwa nasikia hilo jina Oysterbay and I used to think ni mtaa wa maana sana. Kumbe inakaa tu hivi! Hiyo hata kwa hurlingham haifiki robo. Pale Muthaiga na Runda nilizokutajia kuna rental houses za ksh300,000 per month! Hizo ni kama milioni sita za Tanzania. Ndo maana nikakuambia tukileta picha za kule mtakimbia mpotee kule mazense
 
CRJE hao ,hawa jamaa wana speed sijawai ona ndio hawa jamaa walioikimbiza MNF SQUARE , speed yao ESTIM hawaingii ndani
Alafu nmependa design ya Noble Victoria litakua poa sana kama umefika pale site ipo...
 
Leta izo street zako,Hio ndio Osterbay upate kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…