Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio link naifatilia toka 2014 bado munaita hass😀😀
endelea kutuonesha render bro😛😛😛
kwani wewe mwanamke? unafatilia sana mambo ya Kenya?😀😀😀lakini utapigwa na butwaa tu hivi karibuni tutakapomaliza ujnzi...utatokomea JF usijulikane uko wapi😀😀
 
Nairoby,
The city of Slums.
tapatalk_1515530983201.jpeg
tapatalk_1515529893781.jpeg
tapatalk_1515529567161.jpeg
 
kwani wewe mwanamke? unafatilia sana mambo ya Kenya?😀😀😀lakini utapigwa na butwaa tu hivi karibuni tutakapomaliza ujnzi...utatokomea JF usijulikane uko wapi😀😀
hahahah 2014 munajenga tu mpaka leo😀😀😀
go on posting renders plz bro
 
Back
Top Bottom