Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua sio kila mtu ana spirit ya kufanya kitu kipya kama Biashara, kwahio lazima uende naopole pole, BTW mm mdau sana wa mchele wa kigoma, watu wanajua wa mbeya ila wa Kigoma funga kazi
Kaka mchele wa Shinyanga unaujua? Huo unauzwa Congo, Burundi, Rwanda, Uganda n.k. Waganda mpaka walianza kulalamika kuwa mchele wa Tanzania mzuri sana unaua soko la locals.
 
pataendelea tu wala usiwe na shaka
 
Kaka kigoma sio kwamba itaendelea kubaki nyuma, bali shida ilikuwa barabara na umeme. Imagine cement mpaka leo Iko 27,000 maendeleo yanapatikanaje kwa uhaba huo, kigoma kuna kipindi hata kupata soko la maharage ilikuwa shida.
Ila tembelea kigoma sasa hivi uone mabadiliko hasa baada ya umeme na barabara ya tabora kukamilika
 
Ni takataka mzee usilazimishe bumunda kuwa baga. To cut the long story short. This is an aerial view of your so called city 😂😂😂 hii ni kama mkinga village in Tanga city 👇🏾mji mzima uko na barabara moja ya lami 😂😂😂 hii ni kijiji iliyopitiwa na barabara. Kwasababu ya upumbavu wa watu wa huko mkalazimisha eti na enyewe ipewe hadhi ya jiji.
 
mimi ni Mkigoma unajua ile mentality ya Ujiji bado ipo kaka! sasa imagine agenda ya kulazimisha landlocked kuchukua mizigo toka dryport Kigoma inatoka wapi!? Yani hatuoni fursa na haturidhiki! BTW kuna kiwanda cha saruji malagarasi pia sukari Kigoma!
 
Kwa hiyo unalazimisha picha za kitambo au? 😂😂
 
Watu wanadhani Mpunga unalimwa Mbeya pekee. But Kigoma, Shinyanga mchele wake mzuri sana. Ni vigumu sana kuupata huku Dar maana nchi kama Congo DR, Burundi, Rwanda, Uganda, South Sudan na Kenya wanagombaniana.
wa kigoma naujua vizuri sana, sehem unaponunuliwa naonaga ndo the most expensive ila mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…