Wakenya hawawezi kuvumiliana ki siasa. Hii ni mbaya sana.sasa nchi nzima inamfokea FIFA
Tofauti ya hii Kitu na Dandora Stadium ni gani?🤣🤣😂
PM Yao alisema Ethiopia haiwezi kosa Bandari so Somaliland, Djibouti au Eritrea wajiandae Kwa kuvamiwa.kuna maneno inaendelea huko ethiopia!
View: https://x.com/Abdrezak1584333/status/2048322438258098247