Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka kipindi hicho hatukuwa na mafuta hapa East Africa. Kwa sasa tupo na bomba linaleta crude oil toka Uganda.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Tanzania tunaagiza mafuta India?
 
Kaka kipindi hicho hatukuwa na mafuta hapa East Africa. Kwa sasa tupo na bomba linaleta crude oil toka Uganda.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Tanzania tunaagiza mafuta India?
wewe unaioanje Tz ya miaka 10 mbele? mm Naona kama nguvu imewekwa kwenye Gas zaidi, kuhusu Bomba la Uganda ile ni business tu cha muhimu yalikua yafike Tanga alafu meli zije kuchukua pale
 
Kaka Gas ya mtwara inaitwa Natural Gas, huwezi kuiweka kwenye mitungi ya kupikia. Hiyo unayoiona kwenye mitungi ya kupikia inaitwa LPG imetokana na mafuta kaka. Natural Gas ni methane, ili uweze kupikia ni lazima uunganishe bomba majumbani. Mradi wa kuunganisha momba kila nyumba ni mkubwa sana unahitaji investment kubwa.

Lakini tukiwa na refinery tutapata LPG pale.
 
wewe unaioanje Tz ya miaka 10 mbele? mm Naona kama nguvu imewekwa kwenye Gas zaidi, kuhusu Bomba la Uganda ile ni business tu cha muhimu yalikua yafike Tanga alafu meli zije kuchukua pale
Kaka Gas ipo na kazi yake na mafuta yapo na kazi zake. Kila kimoja kipo na faida zake. Heavy duty machines zinaendeshwa na mafuta. Ndio maana nchi zenye refinery zinateneza silaha za kivita kwa urahisi.
 
Kijana mdogo umezeeka kwa kunywa pombe za kienyeji. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Desperation itaua wengi humu. Why are you trying do hard to prove my identify here Nyamwezi? Huu ni kwamba wa ngapi by the way ukifanya the same thing? πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…