concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Namjua vizuri hata sisumbukagi naeHuyo nae usimtilie maanani ni chizi huyo.
Must international matches be played there?CHAN and CAF matches r being played at Amaan stadium! Hebu leta evidence of dandora receiving international matches!
Kenya is Poor Country with big mouthMust international matches be played there?
90% of Simba and Tanga Collection was a derby played at Makwapa. Now show us the gate collection with other teams, I want to show you something 😂😂🤣.Muone mpumbavu mwingine huku, Shabana yenye average gate collection ya 960,000 per match .
Kweli mko desperate sana. Highest revenue ya Shabana kwa mwaka huu ni 3.5 mil ksh au 70 mil tsh.
Halafu wanashindwa hata kulipa salary.View attachment 3580006
Hiyo hapo kwenu ni 44mil ksh only gate fee Tena kwa mwaka 2024 haya tuletee ya Shabana ,gor mahia ,afc leopard kwa mwaka kama wanaweza fikisha hata 20mil.
Level ya got mahia ni mashujaa FC kwa tanzania
Tueleze kwanini unakaa mvuta gundi!Alisikika mnyamwezi hunter and gatherer akisema 😂😂
Yap hata kama ilichezwa mkapa leta ya kwenu ambayo yearly revenue hata ya club moja imefikisha 20mil.90% of Simba and Tanga Collection was a derby played at Makwapa. Now show us the gate collection with other teams, I want to show you something 😂😂🤣.
By the way the highest gate collection for shabana this year was 5M against Gor.
Utasumbuka hadi lini nyamwezi na hizi picha?Tueleze kwanini unakaa mvuta gundi!
View attachment 3580062
The whole world knows Kenyans are the ugliest creatures in the universe.Utasumbuka hadi lini nyamwezi na hizi picha?
Kijana mdogo umezeeka kwa kunywa pombe za kienyeji. 😂😂😂Utasumbuka hadi lini nyamwezi na hizi picha?
unajua sometimes its cheap to import than Refine? For example isingekua Dangote i believe idea ya refinery isingekua into the picmafuta ya ndege? ujenzi wa barabara tutaendelea kuagiza tar/bitumen sio? gas za majumbani? wacha ubishi usio na maana!
hio hio, ilifungwa kitambo, BTW how do you see the future now that kuna CNG stations zinajengwa nyingi, dont you see a conflict apo?Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER)
ata ile Gas ya mtwara ni ya kupikia, the only difference ni in Nozzles zake special but ni ya kupikia, infact its transmited via underground pipe, mikochen nmeiona hio sana!mafuta ya ndege? ujenzi wa barabara tutaendelea kuagiza tar/bitumen sio? gas za majumbani? wacha ubishi usio na maana!
Kaka, unatakiwa uelewe kwanza products zinazotokana na refinery ni nyingi, siyo mafuta pekee.
Tunapa:
Light Ends: LPG (Propane/Butane), Gasoline - Cooking fuel, passenger cars, light vehicles
Middle Distillates: Diesel, Jet Fuel, Kerosene - Heavy-duty trucks, aviation, home heating
Heavy Ends: Fuel Oil, Bitumen (Asphalt) - Ship engines, power plants, road construction
Specialties: Lubricants, Waxes, Petroleum Coke - Motor oil, candles, steel manufacturing, Plastic
By-products: Sulfur, Hydrogen - Fertilisers, chemical synthesis
Sababu za kuanguka kwa TIPPER mwaka 1999:
Uchakaaji wa Mashine na Teknolojia
Gharama Kubwa za Uendeshaji
Ushindani kutoka kwenye Soko la Dunia
Matatizo ya Usimamizi na Ubia
Kuingia kwa Sera ya Uliberalishaji
wewe si umetaka entrace Fees? alafu mbna izo ndogoSasa Simba Day imekuwa league match tena! 😂😂😂