stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 41,096
- 41,737
si ndo nlichokua naongelea juzi, sudan, congo wote watajoin then Tanga itakua by itself ina revenues kuliko kenya nzima, infact lazima na wenyewe wawe na wateja sasa ile graph ya export vs import itakua x100, apo sasa ndo GDP inaruka mpaka 300B