Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo tupo na MISS GRAND TANZANIA AUDITION hapo The Super Dom Masaki.

Warembo ni wengi sana
1777116680117.png
 
si Wakunya tu ni Wakundustan!
Bro, you need to heal, go for mental health interventions before it's due for something sinister. Heal from all these issues affecting your positive mental attitude, see things coherently sio kurusha maneno kama tupo kijiwe nongwa. Peace my brother.
 
Hakuna Kitu inanyoma watanzania Amani kama Talanta Stadium.

View attachment 3575643
We wacha ujinga na upuuzi, sasa ni kitu gani cha ajabu ama kizuri cha kujifunza kutokana na hicho kibuyu cha maji sijui ni libakuli? Labda tushangae bei kuwa juu na ilhali zipo nchi zimejenga viwanja vya michezo mikubwa inayobeba watu wengi kwa bei ndogo kuliko hicho kibuyu. Value for money vs the return of investments hakuna kitachakaa na bado deni hatujamaliza kulipia.
 
Hakuna Kitu inanyoma watanzania Amani kama Talanta Stadium.

View attachment 3575643
We wacha ujinga na upuuzi, sasa ni kitu gani cha ajabu ama kizuri cha kujifunza kutokana na hicho kibuyu cha maji sijui ni libakuli? Labda tushangae bei kuwa juu na ilhali zipo nchi zimejenga viwanja vya michezo mikubwa inayobeba watu wengi kwa bei ndogo kuliko hicho kibuyu. Value for money vs the return of investments hakuna kitachakaa na bado deni hatujamaliza kulipa.
 
Kuna Tower Pana sana Pale Opposite CRDB HQ naiona kupitia Ali Hasaan Mwinyi Road. Kama kuna mtu ana Taarifa nayo.

IMG_9861.jpeg
IMG_9857.jpeg
 
Back
Top Bottom