ati? Umetoa wapi hicho unachoongea? ingekataa basi EACOP!Howeve i doubt Tanzania will accept it since serikali imefocus na clean energy zaidi, $42B plant in mtwara for GAS
niko 50/50 kuna mradi wa $42B pale mtwara wa GAS alafu pia kuna gas stations kama 2 znajengwa dodoma kubwa kama ile ya dar, the way forward ya Tanzania ni kuachana na oil, labda wakubali lakini focus kubwa kuwauzia kenya and earn money 🤣ati? Umetoa wapi hicho unachoongea? ingekataa basi EACOP!
Umechukia kweli kweli mpaka unakosea jina la rais wako ha ha ha; hebu jaribu kupunguza papara🤣That refinery will never be built in your lifetime. Rito will get out of the office and another President will come with their own priorities.
maumivu ni mengi sana mjini apaThat refinery will never be built in your lifetime. Rito will get out of the office and another President will come with their own priorities.
kwahiyo ukiwapo mradi wa LNG Lindi unazuia nn huo wa Dangote Tanga?niko 50/50 kuna mradi wa $42B pale mtwara wa GAS alafu pia kuna gas stations kama 2 znajengwa dodoma kubwa kama ile ya dar, the way forward ya Tanzania ni kuachana na oil, labda wakubali lakini focus kubwa kuwauzia kenya and earn money 🤣
wewe unamuamulia? hivyo vya Angola na Zambia nn capacities zake?Sijui sana mambo ya biashara ya Mafuta lakini mwenye jibu anisaidie Kwa nini anaomb ruhusa Kwa kina Kenya na Uganda wakati Zambia wanajenga kiwanda kikubwa Cha kusafisha Mafuta lakini pia Zambia hao hao na Botswana wamenunua hisa za kumiliki kwenye kiwanda kingine kipya Cha Mafuta huko Angola.
Kwani akijenga hapa Tanzania bila hao Kuna shida gani?
View: https://www.instagram.com/p/DXe2VqTDbFu/?img_index=1&igsh=MXRia2cxOWR0aHgzaA==