ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,414
Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri Tanzania kuungana na Vinchi vya kimaskini na kifala kama Kenya na Uganda mbavyo vinapigania njaa na kula alitukosea sana.
Nchi kama Kenya haina hata Kiwanja kimoja chenye hadhi,wako busy lile sufuria lao lakini hawana viwanja vya mazoezi Wala vigezo vingine vya kiusalama.
Uganda ndio hao wanajikingoja.
Tanzania tuna viwanja 3 ambavyo viko tayari achilia mbali 2 vinavyojengwa na vingine vinginvya mazoezi.
View: https://www.instagram.com/p/DXcAp9QAows/?igsh=djQxeDRtend0N3k2