Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

skybox ni area ya nje na ndani! yaani unaweza kukaa nje au kibarazani!
Pingana na FIFA😂😂🤣👇👇👇

1000249211.jpg
1000249213.jpg
 
sasa wewe ata unajua skybox ni nn kijana wa mathare
Wewe ndio hujui Skybox ni nini? Unadhani Skybox ni viti pekee😂😂🤣😂.
Hizi ndio skyboxes, sio hizo viti I atuwekea🤣😂
1000248768.jpg
1000248769.jpg
 
Back
Top Bottom