Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Unaamini hii itakuwa Skybox?🤣🤣😂

1000249116.png

1776761144346.jpeg
 
kuna mtu anaitwa Teargass yeye skybox yake kuna sink ya kuswaki

1776762523101.png


1776762587308.png


naskia skybox yao ipo ndan ya ukuta alafu kuna mlingoti pemben, saaahv Teargass kasema ni unfinished skybox sjui wanataka kutoa ule mlingoti
 
kuna mwingine anakaa marekani na ameenda stadiums zote na akaona sybox zinafanana na yale masinki ya kuswaki pale RAO, naskia alienda SOFI sasa sjui ndo hii ama kuna ingine

1776762923823.png
 
Back
Top Bottom