stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,841
Wasouth nao wamekuwa kama Wakenya bize online wakiclaim Watanzania ni watu wao 🚮
Watoto wakali wa kitanzania.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2045142351958376455?s=20
Wasouth nao wamekuwa kama Wakenya bize online wakiclaim Watanzania ni watu wao 🚮
Watoto wakali wa kitanzania.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2045142351958376455?s=20
No serious Kenyan would claim a bongolala. Yani Mkenya aache smart mind kama Edwin Sifuna achague akili malenge kama hao wanasiasa wenu vicheko kwa mfano? Ama aache Bien achague Mr. I am 31st years old? Wacha bangi.