Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwahio Kifaru254 mliambiwa Talanta itakua na VAR na Goal line tech na nn kingine 🤣

kwahio Kifaru254 mliambiwa Talanta itakua na VAR na Goal line tech na nn kingine 🤣
Umesahau Skyboxes. Yani vitu huwezi Kuta kwa Stadium za Tanzania, mtabaki kuzionea Kwa TV wakenya wakijionea live 🤣🤣🤣.
IMG_7810.jpeg
IMG_7808.jpeg
IMG_7809.jpeg
 
🤣🤣Sasa Nigeria ni inchi mtu ako na akili timamu anaweza bench mark nayo. Nigeria has no Stadium anywhere close to even Kasarani Wacha Talanta. Na hawa mafala ndio role model wenu 🤣🤣🤣

View: https://vt.tiktok.com/ZSHcu99AJ/

Seems makunya mengi ni mafala hawajui chochote kinachoendekea Africa, wao ni ndomo kubwa tu na kujipa umuhimu. Haya ijue Nigeria 👇🏾Abuja stadia
IMG_4358.jpeg
Ikwa ibom stadium 👇🏾
IMG_4357.jpeg
IMG_4363.jpeg
IMG_4361.jpeg
muache kujipa umuhimu wazee. 😂😂
 
🤣🤣Sasa Nigeria ni inchi mtu ako na akili timamu anaweza bench mark nayo. Nigeria has no Stadium anywhere close to even Kasarani Wacha Talanta. Na hawa mafala ndio role model wenu 🤣🤣🤣

View: https://vt.tiktok.com/ZSHcu99AJ/

Sasa unabishana na watu wanaocheza fifa world cup na wewe unaeshindwa ata kufuzu CHAN mpaka usaidiwe na TZ
 
Back
Top Bottom