Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The biggest Conference Centre in East, Central and Western Africa.
Then what's this?
IMG_3783.jpeg
IMG_3780.jpeg
 
Sahii ndio wameanza kudiscover supermarkets sasa hawataki tupumue.
😁 I remember It used to be a huge thing back in the 90s and early 2000s, saii most village towns in Kenya have supermarkets.
This got me nostalgic of giant supermarket brands that rose and died like NAKUMATT, TUSKYS, UCHUMI, GAME etc
 
Ukunduni bana? Wake up! Hivi huko kashuti nani kuna facilities size za East Africa commercial n logistic center au Kunduchi mall?
Hizo ndio nini sasa, an international chain like Decathlon hata haiko bongoslum while Nairobi wakona a Megastore. If at all hata unajua Megastore ni nini.
 
Atakupostia screenshot ya jibu kutoka AI ambayo chanzo cha hayo majibu ya AI ni Facebook, ukiangalia kwa pembeni zimejaa logo za Facebok. 😂😂😂
Ukifuatilia hizo link za Facebook unakuta waliojiandikia ni kondoo wenzake.
Wewe Forex Scammer kwani hujui cross checking?
 
Your are just confirming what he posted, our GDP inaendelea kuwapiga gap ingine kubwa Sana. In 2 yrs to come out Kenyan GDP will be 2 times ya Tanzania.
Learn to read mpaka mwisho, alafu we ni fala sana 🤣 , hili somo la GDP mnataka kufunzwa mpaka lini muelewe, who are the biggest contributers of kenya GDP? and what exactly are you happy about while its 15 people earnings? when will kenyans stop being stupid?
 
Learn to read mpaka mwisho, alafu we ni fala sana 🤣 , hili somo la GDP mnataka kufunzwa mpaka lini muelewe, who are the biggest contributers of kenya GDP? and what exactly are you happy about while its 15 people earnings? when will kenyans stop being stupid?
Endelea kulia shoga hii.


1000242792.jpg
 
You should phrase the question the way a Bongolala will understand… 😁😁 “ Kati ya wewe na Rais Suluhu nani anajua zaidi ?”… 🤣🤣
Stop confronting yourself, wewe unaweza kwenda kwa jiran ambapo unajichukulia ela na useme ni pabaya even though unaiona kabisa kibera, mathare hii apa?
 
Back
Top Bottom