hio sio render iko underconstruction na picha ntakuletea nazitafuta coz ujenzi uko dodoma ungekua uko dar ningeenda mwenyewe kupiga picha lakini uko dodoma so nipe time nazitafuta kwa udi na uvumba utafurahi tuππππππVipi kaka blaza, I thought you are allergic to renders! Kumbe hata wewe wapost renders? Maajabu ya Musa
international airport pia iko underconstruction in dodoma labda uulize kingineππππA waste of money if you ask me. Bora ata wakaujengee Arusha. Dodoma bado ata haina international airport!
Kenya = njaaUnajilinganisha na China??....Japan ni DC ..China ni MDC kama Kenya....nyinyi ni LDC
sent from iPhone 7
Soon utasikia wako hadi na pangani girls hata na starehe boys centerati Tanzania pia wako na alliance high school ...hahaha.Hawa wasee wanacopy kila kitu ya Kenya . . .smh
Kuna uhusiano gani kati ya International Airport na Stadium?, lengo kubwa la stadium ni kukusanya michezo ya aina mbalimbali ifanyike, pia mikusanyiko na shughuli mbali mbali hasa sherehe za kiserikali na kitaifa zifanyike, Dodoma ndiko ambako sherehe hizo zitafanyika, sasa Arusha kuna nini?A waste of money if you ask me. Bora ata wakaujengee Arusha. Dodoma bado ata haina international airport!
How many times have you called things under construction in kenya renders. Ni chuki inakuumiza ama maana halisi ya render ndo hujui?hio sio render iko underconstruction na picha ntakuletea nazitafuta coz ujenzi uko dodoma ungekua uko dar ningeenda mwenyewe kupiga picha lakini uko dodoma so nipe time nazitafuta kwa udi na uvumba utafurahi tuππππππ
Kwa hivyo mnajenga uwanja kama hiyo kusudi ni kuandaa sherehe za taifa? Maajabu hayo! The one who posted this said it's a stadium of international standard, meaning it will be able to hold international matches in future. It is only then that it will have return on Investment. How will it achieve ROI minus an international airport coz hakuna mechi muhimu za kimataifa zitachezwa kule kama hakuna uwanja wa ndege. Huyo mwenzenu aliuliza swali muhimu sana.Kuna uhusiano gani kati ya International Airport na Stadium?, lengo kubwa la stadium ni kukusanya michezo ya aina mbalimbali ifanyike, pia mikusanyiko na shughuli mbali mbali hasa sherehe za kiserikali na kitaifa zifanyike, Dodoma ndiko ambako sherehe hizo zitafanyika, sasa Arusha kuna nini?
Nani alikuambia mimi maskini?Uchumi mkubwa wa nchi ukukute na wewe unauchumi, utapokua maskini katikati ya nchi ya middle class ni upuuzi
After all is said and done hali halisi ya mambo ndo hii hapausisahau stiglers gorge 2100MWππ na mwaka huu tunapokea mchumchuma coal 600MW
Kuku wewe.eti china ni MDC kama kenya[emoji22] [emoji22] [emoji22] .Unajilinganisha na China??....Japan ni DC ..China ni MDC kama Kenya....nyinyi ni LDC
sent from iPhone 7
Ulitaka tujengee kenya???kibela??Dodoma yenyewe inakaa kichaka unajenga stadium kubwa...misplaced priorities
sent from iPhone 7
Mbona liko wazi hilo,wewe ulijua kama jana kuna basi limechomwa moto na bodaboda kenya kwa kugonga mmoja wao???Kwa hivyo na nyinyi mnapoleta taarifa za Kenya huku yamaanisha kwamba mnajua Kenya kutuliko sisi wakenya?
1800MW kwa karatasi wakati serikali yenu inaongea kuhusu 1500MW. Sasa you expect us ti believe you more than your government?Naona sasa hivi atajifungia na kuanza kutokwa kamasi. This is not 90s tz
[emoji28] [emoji28] [emoji28] bro mpaka nairobi yenye sparks lakini bado haikohoi.Nairobi- New year glow
Hakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.international airport pia iko underconstruction in dodoma labda uulize kingineππππ
Sikua najua lolote kaka, asante sana kwa kunijuza. Nawalaumu sana vyombo vyetu vya habari kwa kukosa kutujuza mambo yanayochipuka humu nchini hadi inabidi tuingie fj ndo tuwe na habari. Hivi, huyo mtu wa bodaboda alikakita mgu, mkono au kichwa? Na alifariki ama aloponea? Naomba unipe habari hizo pia kaka, nitashukuru sanaMbona liko wazi hilo,wewe ulijua kama jana kuna basi limechomwa moto na bodaboda kenya kwa kugonga mmoja wao???
Kifupi kwa exposure hamtuwezi,internet ya bure mnaangalizia porn tu.
Hahaha....lol. Eti waliona ya cattle ndio muhimu zaidi! Sina mengi ya kusemaHakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.
Sasa ulivyo mjinga ukisikia under construction,unaelewa nini,kama ni barabara watu wanapima itapita wapi na itakuwa na ukubwa gani utaitaje???Hakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.