Kifaru254
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 124
- 352
Sasa Kwa hio akili yako Malenge unathani Ni mara ya Kwanza NSSF Kenya kujenga gorofa Nairobi😂. Hii hapa ndio Headquarters ya NSSF Nairobi 28 floors na ilijengwa mwaka wa 1973 Tanzania bado mkiwa stone age. Hio yenu ni 22 floors na mnapiga nduruHii yote ni baada ya Tanzania NSSF kujenga huko Nairobi 😂😂😂 Yaani ninyi watu mna inferiority complex the same to the conference facility