Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii mtungi mwanadamu anaweza panda kweli ama atajipata msituni?😀😀😀
air-tanzania-q400.jpg
maxresdefault.jpg
kenya-airways.jpg
5Y-KQUaa.jpg
JMq44555YZD170515AndyCline-0893s-768x512.jpg




 
Hii ni aibu sana kwetu, a whole 8m out of 48m ppl wanakunya vichakani!
upload_2018-1-7_12-28-56-png.670159


Lakini sijui hii ya hawa Wa 44m out of 54m ppl ni nini
1447845069-976_Top-10-countries-without-access-to-improved-toilets-Number-of-people-chartbuilder.png
Hahaha yani population zaidi ya ile ya Kenya wanakunya vichakani na kando ya beach na BRT...Tz ni LDC na siyo kusingiziwa.
 
Sasa wewe kweli na wewe huna akiki timamu .:we have a mall in mwanza which is 50k sqm ..two rivers is 62k sqm hyo difference ya 12k sqm ndo inakupa kiburi au we subir huo mwanzo tu kazi inaendelea
Akiki?? Hiyo 12k sqm hamjaweza kuifikia ndio Maana Niko na kiburi...tag me mkishaifikia.
 
Hili jambo lipo wazi mno, Uganda wanaomba pesa ili kujenga reli watakayotumia kupitisha mizigo yao, yaani exports and imports, sasa lazima hiyo nchi yenye bandari wanayotaka kutumia ithibitishe kwamba itafikisha reli hadi kwenye mpaka wa Uganda, bila hivyo SGR ya Uganda itakuwa haina maana kujengwa.

Kenya inajaribu kupiga hesabu za kiuchumi, kati ya kufikisha reli hadi Malaba, au Kisumu ambako kutakuwa na bandari itakayotumika kusafirishia mizigo kwenda Uganda na nchi zingine, ninavyofikiria ni kwamba Kenya itachagua kuishia Kisumu, kiuchumi itakuwa na faida kubwa kwa Kenya, kuliko kufikisha Malaba.
 
Maskini wapo Kenya wewe
Jaribu kutafuta watanzania wanaoishi maisha ya kinyama kama hawa toka Turkana

_64097124_pic.jpg


Turkana-12-750x499.jpg


View attachment 670196
Hiyo picha ya kwanza, hapo ni Hospitali, kwa mbali kuna mzani wa kupimia watoto, hilo sio banda la kuhifadhia mazao kwa muda, kama tunavyotumia Tanzania, hiyo ni dispensary jombaaa......
 
Back
Top Bottom