stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,180
- 33,641
Kwahio ulidhan kusogea izo ranking za friendly matches ndo mmekua wakubwa sana 🤣 🤣 🤣 , Tanzania football ipo million miles ahead of you 🤣, if only you knew how many kenyans want to play in tz, kwa kifupi nyie bado sana yaani mko chini vibaya mnoLeo ranking haina umuhimu wowote. Just a few days ago it mattered a lot na tulikuwa tunakumbushwa siku siku vile nyinyi ni magwiji wa mpira coz you rank above us. Being a nyamwezi is a curse!