President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,757
- 89,782
Tunajua we are here for fun lakini usijifanye kama mjinga hajawai kuenda shule.
Tunajua we are here for fun lakini usijifanye kama mjinga hajawai kuenda shule.
Huyu ni nani? Au ndio bwn nairobae?
What's the name of your Vice President?kuna watu wanafuatilia watz mpaka wamekua famous kenya zaidi ya tz yenyewe
Eti mnawaza kufanya nini?heeee 🤣 🤣 yaani watu wanawaza kubeba AFCON wewe unawaza ranking, Wonders wonders
infact sio kuwaza as i told you under 15 tayar washabeba AFCON, we endelea kusubiria ranksEti mnawaza kufanya nini?
😂😂
Mbna kinyonge sana, weka daily dose vizuri kama ivi
anaitwa sopranoWhat's the name of your Vice President?
nawaonea huruma 🤣 🤣 🤣 all these are available in mkapa stadium, even more modern than them, uwanja wa Arusha ukiisha sjui utajifichia wap