ohk ila ni SGR Kampala Malaba! Sijaona ya kwenda Kagera!Mambo si ndo hayo sasa, na tena wana umeme mwingi
View: https://x.com/ChimpReports/status/2039323664479384043?s=20
Tulisha discuss humu hii article haihusishi Zanzibar yenye hotels room zaidi ya any city in EA!
Will we host it? Why don't you chose one propaganda and stick to it?Kwanini mtahost AFCON kwenye mji mmoja tu?
Why all stadia ziwr mji mmoja tu, hiyo miji mingine vipi?
Saa hii hautasikia story za FIFA ranking tena 🤣🤣🤣Wachawi mpo?
It was just a matter of time. Tanzania is back to where they belong.
View attachment 3565696
na waliobeba mara ya mwisho si mwingine bali ni........Huwezi ukaiona Kenya hapa:
View attachment 3566124
they were just friendly matches na timu zenyewe si umeziona za mwisho kabisa ukoo, meanwhile Tanzania kabeba AFCON under 15 last yearSaa hii hautasikia story za FIFA ranking tena 🤣🤣🤣
Kujeni muone excuses galore zishaanza from footballing nation 🤣🤣🤣🤣they were just friendly matches na timu zenyewe si umeziona za mwisho kabisa ukoo, meanwhile Tanzania kabeba AFCON under 15 last year
Can you prove what you've said? Ama ni story za vijiweni as usual?A dish ambalo original yake ni Tanzania. Nyie ni wakukopi tu na kupaste.
Mna nini nyie tunaweza pika na kula huku?
Sawa sawa nyamwezi. Endelea kuugua pole. Mbona hizo story za statistics za kuundwa ni wimbo tumezoea sasa, especially when it places Kenya ahead of Tanganyika?
- Dollar millionaires ni uongo, ni statistics za kutengeneza.
- Entertainment capital ni uongo pia, watu wenu hata kwenye mechi za mpira hawaudhurii. Mnaandamana na kuuawa kwa unga tu.
- heartbeat?? Ni uongo pia, moyo utafanya kazi vipi bila chakula, nchi ambayo a decent meal a day ni changamoto kwa kila mtu.?
huo ndo uhalisia, they were friendly matches kwan uongo?Kujeni muone excuses galore zishaanza from footballing nation 🤣🤣🤣🤣