stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,791
- 15,712
Unajikaza sana, usije ukajinyea tu.Hello Mr. Baboonman, kumbe uko alive? I'm happy to hear from you our dear primate.
We thought Suluhu alipita na wewe.
Lakini kusema kweli Legue ni ngumu kweli kila mmoja amekaza aisee. Njana Libya walitukazia ile mbaya.🤣 🤣 🤣 ilibaki shot moja tu ya nje watu wachezee 100
View attachment 3565767
wale jamaa wanajua. kuna libya alafu kuna rwanda, hao jamaa sio wadogoLakini kusema kweli Legue ni ngumu kweli kila mmoja amekaza aisee. Njana Libya walitukazia ile mbaya.
mbona unatuchanganya?
Which forest did you migrate to Amazon ama Congo Forest?Unajikaza sana, usije ukajinyea tu.
Watu wa footballing nation wataanza kukwambia ranking haimaanishi chochote sasa. Wangoje utaskia. Utashangaa hawa ni wale walikuwa wanatutolea ranking every few daysfor the past one year? 🤣 🤣Wachawi mpo?
It was just a matter of time. Tanzania is back to where they belong.
View attachment 3565696
Ukunduni mji ni naikundu tuKwanini mtahost AFCON kwenye mji mmoja tu?
Why all stadia ziwr mji mmoja tu, hiyo miji mingine vipi?