Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana AY walikuwa na kundi lao linaitwa East Coast Team, Akiweno Mwana FA, GK na wengine. Hebu tuambie AY alikuwa lebel gani hapo Kenya na ni mwaka gani? Mnapenda kutunga uongo everyday. Huo ni ujinga
AY hit when he signed with Ogopa Deejays. That was before East Coast Team. Nyimbo kama Zigo (original) Mikono juu, Binadamu ametolea Ogopa. Diamond also hit with Ogopa Deejays. Songs like Kesho and Nataka Kulewa ni za Ogopa Deejays.
 
Boss achana na mpira, hujui kitu kuhusu mpira and hutakaa uelewe mpira, Unajiaibisha
 
AY hit when he signed with Ogopa Deejays. That was before East Coast Team. Nyimbo kama Zigo (original) Mikono juu, Binadamu ametolea Ogopa. Diamond also hit with Ogopa Deejays. Songs like Kesho and Nataka Kulewa ni za Ogopa Deejays.
Acha ujinga wewe. Wimbo wa Zigo aliimba baada ya kutoka East Coast. Nadhani unabuni vitu tu na humjui AY wewe. Stupid Kenyan
 
It’s an appreciation of a good thing … it’s a character very common in Kenya’s DNA … maybe you should try it sometimes…🤣🤣🤣
Then that must have been the most STUPID DNA code, una wasanii wako alafu umeshindwa kuwaendeleza umeenda kuwaendeleza wa nchi ingine, uko sawa kichwan?
 
AY hit when he signed with Ogopa Deejays. That was before East Coast Team. Nyimbo kama Zigo (original) Mikono juu, Binadamu ametolea Ogopa. Diamond also hit with Ogopa Deejays. Songs like Kesho and Nataka Kulewa ni za Ogopa Deejays.
Diamond Recorded just one song with Ogopa. Baada ya kuona ujinga wenu Diamond aliachana na ninyi.
 
Keep telling yourself that if it helps you sleep well at night ..🤣🤣🤣
Huo ni ukweli. Tunawajua vizuri mno mnachoweza ni kupokea misaada toka kwa maadui wa Africa ili muitukane Tanzania kwenye social media. Sisi tumeamua kuwa puuza tu. Tunawanyosha taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…