Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,897
- 107,359
wanajua zile narratives zao za propaganda hazitapata tena upenyo!Hii ya NMG imewauma sana hawa Nyangau
wanajua zile narratives zao za propaganda hazitapata tena upenyo!Hii ya NMG imewauma sana hawa Nyangau
Huku Tz siku hizi kujenga ghorofa lazima ufanye Geotechnical survey (report), Environmental Impact assessment (report) and Fire report ndio uanze kuomba building permit.Hawa jamaa nilishawaambia waombe earthquake isitokee hapo Nairobi maana itakuwa majanga!
be good 🤣Part of 50k km paved road network
BRT Phase 3: done n dusted!
View: https://www.instagram.com/reel/DV8BJTclGeC/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
MYAKE
Pale Ukunduni vp?
Mabasi sijui kama yashafika yote!kwahio saaahv kariakoo mpaka airport non stop
yaaani wiki nzima wanaiongeleaHii ya NMG imewauma sana hawa Nyangau
daily dose hioMbona hakuna tofauti na zile za mwanzo walizozindoa ati ni sample! 😂😂😂
View attachment 3558673
mpaka route ziko zikamilike maaana yanahitajika mabasi zaidi ya 1500, naona ule upande wa mbagala hawatoi leseni ya daladala tenaMabasi sijui kama yashafika yote!
mpaka route ziko zikamilike maaana yanahitajika mabasi zaidi ya 1500, naona ule upande wa mbagala hawatoi leseni ya daladala tena
wanazishikilizia na mawe? hehee imekuwaje?Mbona hakuna tofauti na zile za mwanzo walizozindoa ati ni sample! 😂😂😂
View attachment 3558673