Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara gani ziko dar vichochoroni?
Iyo ni kibera tu ,
Barabara Moja or mbili zimekatiza ndani ya maSlum tu.
After 4 houses Kunafaa kuwe na barabara na nyuma zao 1 house Tena barabara! 4 by 2 grid.
Hiii dar ni ndoto ya 2070.
Dar es Salaam ilishatoka huko. We are not your mates. I can't believe a place like Kibera still exists in 2026. Hiyo nchi yenu ni masikini sana
 
Barabara gani ziko dar vichochoroni?
Iyo ni kibera tu ,
Barabara Moja or mbili zimekatiza ndani ya maSlum tu.
After 4 houses Kunafaa kuwe na barabara na nyuma zao 1 house Tena barabara! 4 by 2 grid.
Hiii dar ni ndoto ya 2070.

Una picha hapo tuoneee?
 
Nani hajui Rostam is Ruto's proxy, Standard Media Group imemnyorosha kiboko ameaumua kutafuta equalizer.
Rostam can buy Ruto! Nyoko wewe! He went for ur supposed largest media house! Naona Madowo akilialia twitter 🤣🤣!

BTW kumbe alishanunua hata Zuku pia!
 
kwani hiyo nairobi yenu ndio ina barabara bora? hakuna lolote
Nairobi wanabuild infrastructure for show off. Hawajui hata infrastructure zipi ni za muhimu zaidi kujenga
Ndio maana iko very backward, mbaya zaidi wakenya wanaamini high rising buildings ndio infrastructure. Sasahivi wanahangaika na preventable floods
 
Dar inajengwa kimkakati haswaaa just give us 2 yrs na hawataamini macho yao
 
Walishangilia walivyoongopewa eti wanawekewa seat za kisasa, jamaa plan zao mbovu sanaa, yn wamekopa mabilioni ya pesa kujenga uwanja alafu finalization inawashinda.
Kenyans mara nyingi akili zao ziko kwenye kushindana na kujikweza.
Wao ni kuangalia nchi gani imefanya nini na kuanza kujenga kuipiku bila feasibility study ya kueleweka na hawana hela.
 
Walishangilia walivyoongopewa eti wanawekewa seat za kisasa, jamaa plan zao mbovu sanaa, yn wamekopa mabilioni ya pesa kujenga uwanja alafu finalization inawashinda.
Wewe fuatilia tu miradi yote ya Kenya, huwa wanajenga kama hawana akili timamu. Wana akili za kitoto, kujenga vitu kwa show off badala ya kujenga kimkakati
Ni 2026, ila their biggest city doesn't even have BRT system, just imagine. Wanajenga vitu hovyo tu wanakuja kushituka wameharibu kila kitu
Hata sishangai kusikia stadium yao imeshindwa kufikia matarajio
Huwa nacheka sana wanavyoiita nchi yao Singapore
 
Dar inajengwa kimkakati haswaaa just give us 2 yrs na hawataamini macho yao
Kabisa, Dar will forever be ahead of Nairobi subiri daraja la Jangwani likamilike, na soon tuanze kujenga metro railway system.
Hawa hata BRT imewashinda, wako busy kujisifu eti Nairobi ina good road network. Wanajenga unnecessary highways, bado wanashangaa town yao iko na congestion kuliko anywhere in East Africa
I'm sure Nairobi will be struggling with the same problems in the next 10 years while Dar keeps moving on smartly. Tz huwa hatukurupuki kujenga infrastructure kama Ukunduni
 
Mfano hili daraja walijenga la kazi gani! 😂😂😂

View: https://x.com/africafactszone/status/1369976452087697414?s=46Mbona linabomolewa!

View: https://x.com/mwangocapital/status/1685253019456163840?s=46Kuna hii pia wakaanza kulinganisha na stendi ya Mbezi.

View: https://x.com/kenyans/status/1519242954984075265?s=46Ikawa hivi. 😂😂😂

View: https://x.com/saddiqueshaban/status/1711392273148072303?s=46
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…