Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakuaje tena global warming wakati mimi naona barafu? Ama mimi ndo sielewi maana halisi ya global warming?

Siku zote nchi zilizopo karibu na equator sio rahisi kupata barafu. Ukiona barafu ujue more moisture is created due to high temperature ambayo inasababisha ice crystals kwenye mawingu nakusababisha barafu kudondoka.
 
Eti satellite image , Na mwingine alisema Eti Subaru Legacy ni Gari ya zamani , halafu wanakutambia ni middle income , Best education system. Sijui ni utani Au Ndio kweli weupeeeee


I can see mumeenda above the clouds ndio Nairobi isionekane......satellite view.
sasa leta a visible aerial view of Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…