El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Sasa mtauziaje Kenya maziwa wakati kenya is Africa's third biggest milk producer? Kuhusu lisu, mbona hakuenda Uganda, ama Malawi, au hata Mozambique? Aren't these your neighbours as well? Hizi figures zingine hapo juu umetoa wapi? huku tunatumia links to prove your arguments. Last time I checked, Kenya has more paved roads than Tanzania and I have the links.Hebu prove your points above please.
Utalii wa Kenya unaudhi sanaIkikamilika, itakuwa inaingiza pesa nyingi kwa mwaka kuliko utalii wa Kenya
Ina nn bridge pia msa tuna nyali bridgeNyerere bridge
nawaambianga hawa watanzania wana akili size ya njugu.......huwa na shake tu kichwa kwa mshangao na kuendelea na shughuli ya kujenga uchumi
Nairobi is rubbish!dar is slum
Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beachUtalii wa Kenya unaudhi sana
Mapato ya utalii ya Serengeti ni makubwa kuliko ya Kenya nzimaSisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach
Slum dwellerwalalas vikojoziiiiiii
Wajamaa wanashinda.........eti ili waipiku 254
Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach
Usifananishe nyerere bridga na takataka.Ina nn bridge pia msa tuna nyali bridge
Hahaha,kenya tunaijua ndio maana tupo humu,eg,mm nimekaa kenya sana,hasa R.valley,Narok.At least I disapproved him. Hiyo ndo ilikuwa lengo langu. Mnaongea vitu mob kuhusu kenya wakati hakuna mnachofahamu kuhusu hii nchi.
Eg,mukuru kwa Njenga,mathareMkumbushe pia kwamba Nairobi ina slums nyingi sana, asiendelee kurudia Kibera tumeichoka, atuwekee slums zingine, zimejaa kibao Nairobi, why Kibera always?
Kama mbele[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Usifananishe nyerere bridga na takataka.
Fyi Kigamboni Bridge is East Africa’s first suspension bridge and one of 3 in Sub-Saharan Africa (exception of South Africa).
UHURUTO,ref:2007 PEVNitajie hao wakenya magaidi kwa majina moja baada ya mwingine na counties wanazotoka.
Ni dhahiri kwamba umeishiwa hoja
Comment nyingine ni za kupuuza[emoji23] [emoji23]Eti satellite image , Na mwingine alisema Eti Subaru Legacy ni Gari ya zamani , halafu wanakutambia ni middle income , Best education system. Sijui ni utani Au Ndio kweli weupeeeee