Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,214
- 12,590
Mbeya imechelewa kupata malls ndio maana. Kitu kilichofanya Mbeya iwe jiji kubwa lenye mzunguko wa hela na GDP kubwa ni biashara ya mazao na kilimo. Hiyo ndio biashara kubwa zaidi Mbeya na sio mallsSo Nyeri, a small town, got its first escalator in 2014 and Mbeya, your fourth largest city, got in in 2026 na huoni aibu kupost?
Recently ndio Mbeya imeanza kugrow kwenye biashara nyingine kama malls, hotels, restaurants, plaza nk zinajengwa kwa wingi now