Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,235
- 12,664
Yeah hapo ni Lwangwa, Mbeya. Ni out kabisa of Mbeya City. Almost all Mbeya Region is green like this
Hapo ukienda Tukuyu na Rungwe ni 🔥🔥
A city of 600k Hapa ukiwa na gari unaiwacha kwa petrol station ju huwezi access nyumba yako ukitumia gari. 😂 😂 😂Meanwhile a town of nearly 200K people in Kenya 😂😂😂
View attachment 3546246
What about Kibera, a slum of 400K people. The biggest in Africa 😂😂A city of 600k Hapa ukiwa na gari unaiwacha kwa petrol station ju huwezi access nyumba yako ukitumia gari. 😂 😂 😂
View attachment 3546248
Sasa Dar imepangwa hivi kama Kibera kabisa, hadi huwezi ona mwisho. 😂 😂 😂 Hii ndio style yenu ya kujenga.What about Kibera, a slum of 400K people. The biggest in Africa 😂😂
View attachment 3546250View attachment 3546251View attachment 3546252
Siku tutagonga 35,000km of paved roads kuna wenye watalia.
View: https://x.com/i/status/2024377667064041662
Nitajie slum ya Dar ya kufananisha na Kibera kama ipoSasa Dar imepangwa hivi kama Kibera kabisa, hadi huwezi ona mwisho. 😂 😂 😂 Hii ndio style yenu ya kujenga.
Kwani hizo nyumba zenu munaweza access na gari? Nyumba inauzwa alafu unaskia wameongezea point, huwezi kufika ukitumia gari. 😂 😂 😂 Choo nje, jikoni nje, dirisha ni machuma tu ju ukiweka vioo jotoo ya dar is a slum itakuua kama huna fan ama AC. That's proper slum life my G.Nitajie slum ya Dar ya kufananisha na Kibera kama ipo
Unaongea hapa yet your country have less than 12k km of paved roads🤣🤣😂Jengeni na huku. It looks like hell
View attachment 3546254
Sawa, taja majina ya hizo slumsKwani hizo nyumba zenu munaweza access na gari? Nyumba inauzwa alafu unaskia wameongezea point, huwezi kufika ukitumia gari. 😂 😂 😂 Choo nje, jikoni nje, dirisha ni machuma tu ju ukiweka vioo jotoo ya dar is a slum itakuua kama huna fan ama AC. That's proper slum life my G.
Tandale.Sawa, taja majina ya hizo slums
Nitaje kitu inaonekana, ukona parking kwako? Ama unaishi slums?Sawa, taja majina ya hizo slums