Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1771248922164.png
 
wacha upumbavu wewe Kisumu si level ya Mwanza kuanzia the size of the city, planning mpaka industries na mining centers mpaka ports mpaka watervessels! Mpaka public places bus/train terminals, markets, hospitals, universities n hotels mind u Kisumu haina 5 stars hotel! hata 4 star hotel hamna Kisumu! BTW hata Mwnza airport ni uzembe wa Wahusika hawajamaliza jengo na new PAX Terminal inakuja!
I have seen many tourists say the only thing Mwanza beats Kisumu is size.
 
so wakisema tourists ina maana Mwanza is beaten by Kisumu! Hivi Kisumu ina hata 4 star facility?
Hao ni Wakenya wanaabudu wazungu. Eti ni sahihi kwa kuwa kuna tourists wawili kawaona huko TikTok wanatema pumba kuhusu Mwanza
No wonder Russian guy aliwachapa mashine dada zao bila kutumia effort kubwa kuwapata, as long as ni mzungu wanakubali tu 😂😂
 
Back
Top Bottom