Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
Atapanda chuma hizo 👇akienda kuangalia match za Dodoma, Zanzibar, movement in the city na pia for a day excursion to Mikumi National Park between the games. Sasa wewe tuonesha huko ukunduni atapanda nini?
View attachment 3544654
View attachment 3544658
View attachment 3544659
View attachment 3544660
So ulitaka wacheze away game Kenya? Kweli wewe ni fala.
Is like unaniuliza why Arsenal wameenda kucheza away game Spain wakicheza na Real Madrid.
Sasa tuonyeshe picha yake akipanda hizo during CHAN, I'm waiting 🤣🤣😂Atapanda chuma hizo 👇akienda kuangalia match za Dodoma, Zanzibar, movement in the city na pia for a day excursion to Mikumi National Park between the games. Sasa wewe tuonesha huko ukunduni atapanda nini?
View attachment 3544654
View attachment 3544658
View attachment 3544659
View attachment 3544660
So tena sio mambo ya kucheza games away?😂😂🤣😂.Kwa hiyo hao wakora wameshinda game ngapi?
Na wameumaliza mwendo kwa point ngapi kwenye kundi lao?
Wapi airlines? Kuanzia major mpaka charter mpaka private?
View: https://www.instagram.com/p/DTrnsEljKmj/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==