Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


What can you say about this?😂😂🤣😂

1771104858153.jpeg
 
kuwadanganya wakenya raha sana, imagine mtu anawaza london na hali halisi ndo hii

View: https://x.com/MutumaoNkanata/status/2002404635873509865?s=20

Waje Mbeya tuwape maharage wasije wakafa njaa 😂😂
God, Tanzania is blessed. Yani huku hata Dodoma na Singida ambazo kwa Tz ndio tunaona zipo dry lakini wanalima mahindi ya kutosha kulisha Nairobi yote kwa mwaka mzima
Hii picha nilipiga jana mchana na hapo temperature nzuri (16°C). Yote haya ni maharage. People from North East Kenya wataeema this is AI 😂😂
PXL_20260214_092202954.jpg
 
Waje Mbeya tuwape maharage wasije wakafa njaa 😂😂
God, Tanzania is blessed. Yani huku hata Dodoma na Singida ambazo kwa Tz ndio tunaona zipo dry lakini wanalima mahindi ya kutosha kulisha Nairobi yote kwa mwaka mzima
Hii picha nilipiga jana mchana na hapo temperature nzuri (16°C). Yote haya ni maharage. People from North East Kenya will think this is AI 😂😂
View attachment 3544015
uko ndo panalisha nchi nzima
 
You people love to be in Kenya. Mtanzania akipata Tu pesa kidogo hivi anakimbilia Kenya😂😂😂
Hivi ni lini Tanzania itaacha kuwa Kenya's role model. Hata wasanii wenu ni mpaka wacopy mziki wa Tanzania ndio wanapata views
Kama huyu mwenzenu, aliamua tu a copy Bongo flava 100% maana ndio ilikuwa last option 😂😂

View: https://youtu.be/R_DeQhQcTKE?si=VDyFR7sO6ce15FaH
 
Back
Top Bottom