2nd largest city around lake Victoria behind Kampala!Very small city built up area, the density imesurround hio soko, picha kama zote zikona view ya hio soko.
net ndio Kisumu city skyline? hii ina maana hamna cha maana huko!Kisumu City new skyline
![]()
huyu jamaa hajui AFCON Ni nn nmejaribu kumuelezea ila wap, yeye anajua tu CHANMaku akili hauna,ndio maana akili yako iko kwenye players tu ila washabiki ushasahau kwanini mmeamua afcon ichezwe naikundu tu sababu ya miji yenu mingine hotel na infrastructure
eti hawataki singelliWalimfanya nini 🤣
wao cha muhimu anaewala ni mzungu hawana shida 🤣Nyang'au wenyewe wanaona eti ni sifa kuliwa na mzungu, ha ha ha😂