sasa ndio ninakwambia dar 2017 inaweza handle 19m tons na after expansion itahandle over 35m tons, mtwara port wamemaliza expansion so wananunua vifaa vipya vya port na itaweza kuhudumi southern circuit zikiwemo malawi, zambia and part of mozambiqueNow what's the difference between this and what I stated earlier? It's clearly written "from the country's PORTS" which means it's more than one port. I clearly stated that the three ports of Dar, Mtwara and Tanga handled 15 million metric tons which is also written in the abovementioned link. Ni kizungu unakupiga chenga ama?
Wanajua hatupo uko ndio mana wanakosa amani[emoji23] [emoji23]We mpuuzi acha kutudanganya kwanza habari ya 2016 hicho ndo cha kwanza ..cha pili nakupa habar latest kutoka website hyo hyo Tz hata top 30 poorest hatupo..wacha kutuchafulia jina mpuuzi wewe
RANKED: The 30 poorest countries in the world
Uchumi gani mnaokuza unaoshindwa kuzalisha chakula?, kitu cha kwanza duniani binadamu anachohitaji ni kuwa na food security from within, hayo mengine unaweza kuagiza, kama huna uwezo wa kuagiza chakula chako, nchi haiwezi kuwa na sustainable development. Huu ndiyo uchumi unaokua?chakula mbona tunanunua tu Brazil ama Uganda? muhimu ni kukuza uchumi....kujinasua toka kwa uLDC...maskini wa kutupwa
Sasa binti yako akikuitishia mfano wa mafanikio ya music utataja akothe au utamtaja akothe kama mfano wa kuigwa kwa mabinti wa kudai mali kwa wataraka!!!!!The fact remains that akothe is the richest musician in EA
Wanajua hatupo uko ndio mana wanakosa amani[emoji23] [emoji23]
nilikuomba link official ya millionares hujaniletea mpaka leo naomba uniletee naisubiriππππKuna jamaa alidai anataka kucompare sijui mwanza na msa.........msa ina1000 millionaires na dar1200 millionaires na je mwanza INA ngapi
Kuja kenya hata mimi naweza kuja,ila kufanya nini???nani kakuambia huwa haji Kenya? ficha upumbavu wako wakati mwingineππππsio lazima udhibitishe kuwa wewe ni kilazaππ
sio kwa povu hiloππWapuuzi tu hawa wazee wakupika Data ndo maana KNBS is rated below TNBS
Sisi sio watumwa kama ninyi, hatuhitaji kiingereza chenu, ndiyo sababu mnalazimisha tuungane, sisi hatutaki mtatuambukiza njaa, kaeni huko huko na Kizungu chenu, na njaa yenu[emoji12] [emoji12]pole sana LDC dweller...chokoraa wa Nairobi anazungumza kiingreza bora kuliko wewe hapo mzee wa miaka 70πππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa binti yako akikuitishia mfano wa mafanikio ya music utataja akothe au utamtaja akothe kama mfano wa kuigwa kwa mabinti wa kudai mali kwa wataraka!!!!!
Millionaires wanakusaidia nn wakati mnakufa na njaa?Kuna jamaa alidai anataka kucompare sijui mwanza na msa.........msa ina1000 millionaires na dar1200 millionaires na je mwanza INA ngapi
babake Lupita ni Governor wa Kisumu...Lupita yupo marekani kikazi kama vile Wanyama ako UK kikazi ila wao ni wakenya...vipi wewe?πππ ila Diamond yupo afrika kusini ametoroka uLDCπKuja kenya hata mimi naweza kuja,ila kufanya nini???
Sasa kama unataja mafanikio ya wakenya kupitia lupita kasababu lupita anakuja tu kenya,nani ni kilaza hapa?????
sasa hili ni povu ndugu maana niliona dalili toka mwanzoππππππvipi lakini kuhusu waimbaji wanaoweza kutunga nyimbo kwa kiingereza? hamna variety...nyot mnaimba lugha moja...very boring
Wewe orodhesha hao wafukuza upepo tu ndio wataleta mia mia kwenu hapo.lupita hataki mambo ya dongo kundu.global icons
Diamond anakusaidia nini wew mkaazi wa Manzsee?πππMillionaires wanakusaidia nn wakati mnakufa na njaa?
haya basi nikama wamwelewa sana Lupita...πππWewe orodhesha hao wafukuza upepo tu ndio wataleta mia mia kwenu hapo.lupita hataki mambo ya dongo kundu.
Angalia akili za mkenya hizi[emoji23] [emoji22] [emoji27] [emoji27]babake Lupita ni Governor wa Kisumu...Lupita yupo marekani kikazi kama vile Wanyama ako UK kikazi ila wao ni wakenya...vipi wewe?πππ ila Diamond yupo afrika kusini ametoroka uLDCπ
umeishiwa ama?πππsasa hili ni povu ndugu maana niliona dalili toka mwanzoππππππ