Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,270
- 107,908
unajifanya hujaskia mpango wa Uganda kujiunga na SGR Tanzania via Tanga and Dar? na pia gas pipeline?Who cares …. A meeting of 2 dictators and elections thieves …only in oppressed societies this a big deal..😁😁
bado hawajaona na hiiHawa mafala ndo wanampa point yule journalist wa Ivory Coast kuwa East Africa hakuna Infrastructure, sasa hiko ni nini! 😂😂
uganda was your biggest exporter and supplier of your electricity, you are better off zipping your lipsWho cares …. A meeting of 2 dictators and elections thieves …only in oppressed societies this a big deal..😁😁
ni maumivu kwao ila waendelee kulipa deni saaahv 🤣unajifanya hujaskia mpango wa Uganda kujiunga na SGR Tanzania via Tanga and Dar? na pia gas pipeline?
mechi 6 huna ata droo 🤣 🤣
Ni kimradi kidogo tu cha 18.3 kilometres na vibasi kama 100 hivi.
Kha, yaani afadhali pitch ya Bamako ambapo Stade Malien de Bamako wanacheza na Esperance de Tunis. Hawa nyang'au ni shida kweli kweli.🤣na ni kiwanja cha afcon pia, yaani tujiandae kwa aibu yule mwandishi alisema wakamwona hana akili
View: https://x.com/ivymuthe/status/2020478708956496026?s=20
Tutawanunua hawa muda sio mrefu kwa msosi tuu 🤣🤣🤣inakua tax yote ni kulipa madeni alafu unakopa tena kulipa 20% ya deni la ziada 🤣 🤣 , saas we kama nchi 80% ya mapato wanatumia kulipa madeni kuna nn tena apo
most expensive train in africa
View attachment 3541238
mwanzo mzuri sio kama wale wa isuzuNi kimeadi kidogo tu cha 18.3 kilometres na vibasi kama 100 hivi.
wydad walikua wanataka kugomea mechi naona wametumia busara tu kisa wana pointi nyingi tayarKha, yaani afadhali pitch ya Bamako ambapo Stade Malien de Bamako wanacheza na Esperance de Tunis. Hawa nyang'au ni shida kweli kweli.🤣
Cc: Mimi Wewe Yule
ngoja wafike beiTutawanunua hawa muda sio mrefu kwa msosi tuu 🤣🤣🤣
hio ugly weka capital letter yaani iwe ivi UGLIEST in africaThe most expensive and ugliest