babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,739
Uki engage na hawa kondoo ndo utagundua ni wapumhavu kiasi gani. 😂😂😂unajua wewe nimpumbavu hivi unadhani ni Ukunduni tuu wana-invest kwenye transmission grids?
Uki engage na hawa kondoo ndo utagundua ni wapumhavu kiasi gani. 😂😂😂unajua wewe nimpumbavu hivi unadhani ni Ukunduni tuu wana-invest kwenye transmission grids?
wananyegeswa na vimradi vidogodogo huko Ukunduni kuna Mwache dam inajengwa basi ni picha kila siku wasijue hata Tanzania kuna several of those!Uki engage na hawa kondoo ndo utagundua ni wapumhavu kiasi gani. 😂😂😂
The biggest ongoing project in East Africa currently.
View: https://x.com/i/status/2019680193930227879
Mbona Tanzania tunajengawananyegeswa na vimradi vidogodogo huko Ukunduni kuna Mwache dam inajengwa basi ni picha kila siku wasijue hata Tanzania kuna several of those!
kuna dams nyingii! Hata Farkwa Dam DodomaMbona Tanzania tunajenga
Kidunda multipurpose Dam, pale Ruvu River yenye ujazo wa 190 million cubic meters (lita billion 190) za maji na hatupigi kelele. 😂😂😂
View attachment 3540008
View attachment 3540007
Farkwa Dam.kuna dams nyingii! Hata Dodoma