Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unukiwe jasho kwa b hara t, sahizo umesimama kutoka CBD hadi Gongo la mboto. Alafu ukishuka kwa station bado ukona safari ingine ya kilometer tano ya kutafuta nyumba yako ndani ya vichochoro, ufike umechoka kama punda na bafu ziko nje bila roof, unaoga maji baridi ukiumwa matako na mosquito. 😂 😂 😂 Ukienda kupika food upate gas imeisha na kurefill ni kilometer tano tena kurudi kwa main road. 😂 😂 😂 I can't.

Image
alafu ukute sasa unatoka ngong unaelekea kawangware ushuke apa 🤣 🤣 🤣 ila gari zenu ni mbaya
1770330693140.png
 
Attachments

  • 1770330829677.png
    1770330829677.png
    1.5 MB · Views: 8
  • 1770330876858.png
    1770330876858.png
    2.1 MB · Views: 4
  • 1770330995484.png
    1770330995484.png
    1.1 MB · Views: 9
Lakini si poa, the poor guy is craving for your attention na nyinyi mnamlenga 😂😂😂... despite all the effort his making to the extent anaeza post naku spam page mbili on his own na bado hakuna mtu anashughulika na yeye😂😂😂👌🙌...
lakini nani kakwambia tuko apa for attention, we only post mambo kwa ground 🤣 🤣
1770331167866.png
 
Not even one high mast light in sight. Si hata heri Kibera kuna mataa. 😂 😂 Hizo vichoro za bongoslum giza ikikupata nje tafuta lodging karibu na main road ulale ju sijui utafika kwako aje na ni kilomita tano ya kutembea zigzag ukitafuta nyumba.
"Nairobi hubamba mafala"
 
Unukiwe jasho kwa b hara t, sahizo umesimama kutoka CBD hadi Gongo la mboto. Alafu ukishuka kwa station bado ukona safari ingine ya kilometer tano ya kutafuta nyumba yako ndani ya vichochoro, ufike umechoka kama punda na bafu ziko nje bila roof, unaoga maji baridi ukiumwa matako na mosquito. 😂 😂 😂 Ukienda kupika food upate gas imeisha na kurefill ni kilometer tano tena kurudi kwa main road. 😂 😂 😂 I can't.

Image
😂😂gongo la mboto😂😂😂😂🙌...alafu ikue umetoka safari na ukuwe umebeba mizigo kama huyu jama👇😂😂😂😂🙌...
Screenshot_20250918_185314_YouTube.jpg

pfft-trying-not-to-laugh.gif
 
Unukiwe jasho kwa b hara t, sahizo umesimama kutoka CBD hadi Gongo la mboto. Alafu ukishuka kwa station bado ukona safari ingine ya kilometer tano ya kutafuta nyumba yako ndani ya vichochoro, ufike umechoka kama punda na bafu ziko nje bila roof, unaoga maji baridi ukiumwa matako na mosquito. 😂 😂 😂 Ukienda kupika food upate gas imeisha na kurefill ni kilometer tano tena kurudi kwa main road. 😂 😂 😂 I can't.

Image
Alafu sidhani kama hawa watu wanatumia gas maisha ya dream house na gas nikama maji na mafuta hazipatani😂😂😂😂🙌hawa bila mama nitilie na chips mayai wangeumia sanaa bro😂😂😂...
Screenshot_20250919_012527_YouTube.jpg
Screenshot_20250919_012511_YouTube.jpg
Screenshot_20250919_012502_YouTube.jpg
Screenshot_20250917_215934_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom