ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hahahaha mkishindwa munaageuka hapa hageuki mtu mulichooambiwa kuleta leteni hahahahahahahahkubalini mko down...kama hizi ndio places mnazisifia unafanya nizidi kuikosea maana dar
hahahaha mkishindwa munaageuka hapa hageuki mtu mulichooambiwa kuleta leteni hahahahahahahahkubalini mko down...kama hizi ndio places mnazisifia unafanya nizidi kuikosea maana dar
hayo majengo yote yako sehemu moja sema sasa yamechukuliwa kila angle hahahahhah hakuna danganya toto hapaa hahahahahha ningekua siijui nairobi hapo sawa😀😀😀😀😀😀😀😀
hahahahah picha hizo mumepost mara 100 kidogo inamaana hakuna majengo mengine hahahahaha mkianmbiwa nairobi ndogo munakasirika 😀😀😀😀😀😀😀😀😀Na hii ni render ya city enye ata haijaanza kuundwa, sisi tukileta render ya tatu city na konza city, zote zinaundwa. You guys are pathetic.
Acha utoto...leta picha za maeneo mengine....tumechoka na hizo picha unazorudia kila maraNAIROBI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
project, wamekosa picha sasa hahahahahahahhahahahaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀View attachment 487336 View attachment 487337 View attachment 487338
Jacaranda Avenue Road Lavington Nairobi.
mambo moto sasa dar ni hatariiiiiii niliwambieni mapema 😀😀😀😀😀😀😀😀😀zikowapi picha...hio avic town yenu inamalizwa tu na estate yenye iko athi river
Nairobi matope tupuMji chafu ugly na vumbi.
nairobi hakuna picha zingine mpost hahahaha maana kila anaekuja ndio hizo hizo hahahaha😀😀😀😀😀😀😀NAIROBI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
DOWNTOWN NAIROBI
![]()
jengo lina status inaamana unataka kusema hakuna bank of kenya au ulikwepa kupost hahahahahhahah usizungushe mada hapa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀Do you even know the meaning of the word status? The status of building I posted is complete. Mbona wewe hukupost Delta tower ya Tanzania? Hivi wewe ulitaka tulinganishe majengo yote ama BOT kwa CBK? Kama ni hivyo ningepost Times Tower (KRA) Ungespost nini? ningepost UAP Ungespost nini na hakuna UAP bongo? ningepost Anniversary Towers Ungepost nini? Acha utoto. Kama ni kulinganisha majengo post lako nipost langu bora usirudie majengo. Wewe ni kama hata nursery school hujamaliza maanake uko na very low IQ.
under construction, hio design itawafikia year 2100. Mutaendelea kusoma number.project, wamekosa picha sasa hahahahahahahhahahahaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀
dar imejengeka na kila area ya 1590 km sq kunajengwa, hakuna sehemu utakwenda dar ukute hapajejengekaKama nilivyokwambia unapost picha za sehemu moja tu. sasa jengo moja moja hadi saa ngapi? Si wewe ndio umesema Dar imejengeka? Mbona usipost sehemu zingine.
hahahahha onesha picha za under construction tuone hapa kama za kwetu tunavoonesha 😀😀😀😀😀😀under construction, hio design itawafikia year 2100. Mutaendelea kusoma number.
hahaha the same kila siku hakuna kitu kipya mule mule munachezea nairobi ndogon sana kwa dar na ukweli uko pale paleNAIROBI
![]()
![]()
tena ilala ni balaa majengo yanajengwa kila kona i think by 2020 ilala nzima itakua magorofa so imagine ukubwa wa ilala ulivoSubiri tukupatie dawa. Tunakupatia Msasani, Kawe, Mikocheni, Sinza, Ubungo, Mwenge, Mbezi, Kinondoni, Ilala nk. Tunaenda mtaa kwa mtaa. Wewe kaa mkao wa kula. Halafu acha kulia lia kama toto la mama.
nairobi matope kila konaaaaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mji chafu ugly na vumbi.
unachopost wewe tumeshaona vya kutosha tatizo ni same pics tunauliza hakuna picha mpya majengo mapya hahhahahahahNAIROBI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sisi tumejenga 10 yrs dar lakini speed yake hata mupewe 80 yrs hamuwezi kuifikia 😀😀😀😀😀😀😀😀Ndio mmeanza kujenga 2015 building tano ya glass, mnakuja hapa kujisifu as if mlianza 1980.
hahahha nyako maber hataki kukubali dar ni hatariii hapashkikiNairobi ni world class city...
ata ukifika oslo,Salvador, wellington, Osaka, Vancouver utajibiwa vizuri....
Si tunajenga buildings bila plan.