Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapinga alafu unataka mimi ndio niweke. definition. Wewe ni wazimu.
Wewe ndio wazimu badala ya kunielimisha kwa kuweka hiyo definition hapa which is a simple thing lakini umeona u take trouble kuandika insha hapa
 
No wonder you are a primary school dropout. Urban roads, rural roads and highway.

But since you are brainless, I'm sure huwezijua hiyo.
Tanzania hatuhesabu urban roads TANROAD deals with trunk roads and national highways
 
Just a quick currency conversation in these two screenshots shows that Tanzanian NSSF has assets worth 490B against Kenyan 580B.

Wewe huna akili, tafuta wajinga wenzako mjadiliane nao😂😂
Onyesha hizo assets 3x NSSF Tanzania. By the way PSSF is even richer than NSSF
 
No wonder you are a primary school dropout. Urban roads, rural roads and highway.

But since you are brainless, I'm sure huwezijua hiyo.
Highways zote hizi hapa hata 4000 km hazifiki! Leta hizo 18000 km zilizobaki simple tu😂😂😂

Unataka kusema mna kilometers nyingi za urban roads mara 5 ya highways?

2022-6-3_10-28-53.PNG
 
Huwa sipendi ku engage kwa hii ujinga yao yakuspam thread na Takata lakini inabidi tunawakumbusha once In a while 😂😂hii ni maisha ya 70% newyorkers pale bongo , na 90% of their active members hapa gf ...reality check testing,testing 123👇...😂😂🙌
View attachment 3538821View attachment 3538834View attachment 3538827View attachment 3538829View attachment 3538836View attachment 3538831View attachment 3538837
View attachment 3538833View attachment 3538838View attachment 3538839
It's always important to remind them where they belong. 🤣🤣
 
Wewe ndio wazimu badala ya kunielimisha kwa kuweka hiyo definition hapa which is a simple thing lakini umeona u take trouble kuandika insha hapa
Nikuelemishe kitu unapinga, wewe zoea ile msalaba yenu pale ubungo.
 
Wewe ni mjinga. Haya ni maongezi ya kibiashara.

"rapid investment in infrastructure, massive capital inflows"

Hizo investments anaongelea ni zipi, vihouse projects?
Wewe ndio unajua kuliko CEO wa ABSA. Fungua bank yako basi ndio tukuskize pia.
 
Back
Top Bottom