Are we hiding from them? The exposure allows us to know where to work on. Hiding from a problem cannot help when solving it....Hivi kwanini unapenda kujiliwaza katika data lakini hutaki kutafsiri hizo data katika uhalisia?, kwa mfano tukisema, Kenya population below poverty line is 0%, lakini;
1) 4Millions Kenyans have no food(Hunger)
2)48% Unemployment rate
3)3millions Kenyans in slams without water and sanitation
4)Police killings, Kenya is leading Africa
5)Corruption, Kenya is number 3 in the World
Are you OK with all these, so long as it has been mentioned that Kenya is in Lower middle income countries?
hehehe shimoo miaka 5 sasaπππππThe crane is finally up!
Africa's tallest building is now a reality.
Where are our noisy southern neighbours?
https://c1.staticflickr.com/5/4693/38473717925_ace2d0e32f_o.jpg
Wewe uliishi Scandinavian countries za Denmark, Iceland, Finland, Norway and the likes ukasema uko Europe?! Pale hakuna tofauti sana na middle income countries za africa na Asia. Nenda Paris ujionee bullet trains that connect paris to other Euopean cities in two hours or less. Na sasa kama ulaya ndo haina bullet trains as you put it here Danganyika ndo itakuwa nayo as you want us to believe? Your dreams are not valid.Nilikuwa nakusubiri uje na arrogance yako ya Kikenya. Sio kutembea tu nimekaa Ulaya zaidi ya miaka 15! Ulaya hamna BULLET TRAIN....Ziko Japan ni wazi hujui bullet train ni nini. Ulaya kuna electric na diesel-electric na hazijafikia kiwango cha Bullet Train.
So why are you very much obsessed with less important things like tall building and big number of rich people and use them as indicators of Kenyan's developement instead of using these basic and important indicators?Are we hiding from them? The exposure allows us to know where to work on. Hiding from a problem cannot help when solving it....
Hawa GDP yao haina faida yoyote, ni sawa na Ethiopia, wana GDP kubwa lakini maisha mabaya sana hakuna mfano, wananchi wanakimbia kila siku kwenda nchi nyingine!Na njaa haiwaachi
Hiyo GDP inawasaidia nn?
Marvelous[emoji125] [emoji125] [emoji24]kwa kuwa sasa ni rasmi battle ni nairobi+mombasa vs dar es salaam,si vibaya tukaiangazia mombasa.
hii ni hatua chache toka nyali bridge,ambapo kuna mabanda ya mabati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
usiumie kusikia tanzania itakua na bullet trains hatutakua na dhamana siku ukipatwa na heart attackWewe uliishi Scandinavian countries za Denmark, Iceland, Finland, Norway and the likes ukasema uko Europe?! Pale hakuna tofauti sana na middle income countries za africa na Asia. Nenda Paris ujionee bullet trains that connect paris to other Euopean cities in two hours or less. Na sasa kama ulaya ndo haina bullet trains as you put it here Danganyika ndo itakuwa nayo as you want us to believe? Your dreams are not valid.
Hadi raha
Cc:zuwennaKidudu.......sikuelewi
[emoji2] [emoji115]Hii reli ya tz ni ya kuunga unga... ni kama vile unataka kupika mboga lakini hauna mafuta ya kupikia... ukishapata mafuta ya kupikia tena unakuta hata kitunguu hauna... nyanya nazo hata hujui zitatokea wapi, unaomba mungu ashukishe mvua ya nyanya.... mara unarandaranda kwa majirani kuomba chumvi. ukifika nyumbani nayo unakuta gesi imeisha, unabaki kushika tama.
wananchi wa tz nao hata hawajui reli inajengewa wapi. hakuna plan, hakuna renders, hakuna design hakuna muelekeo.
Pongezi Tanzania. You will become the first country in the world to have a bullet train that snails at 160km/h. Pongezeni sana na mzidi kutia bidiiusiumie kusikia tanzania itakua na bullet trains hatutakua na dhamana siku ukipatwa na heart attack
Hao wanaoacha vi miambili miambili huko Masai Mara?huyo bado sana
sisi tumekuwa na kina Omarion, Thierry Henry, Rita Ora, Chris Brown, Trey Songz, Mark Zuckerbrg, Ne Yo na TY Dolla Sign na haturingi...misifa ya kipumbavu
Hivi kuna msanii wao hata mmoja aliyekuja tz kufanya show?wacha akusanye pesa za kigeni alete nyumbani tuendelee kujenga nchiππππππ
will become the first country in east and central africa to have the modern electric bullet trainππππPongezi Tanzania. You will become the first country in the world to have a bullet train that snails at 160km/h. Pongezeni sana na mzidi kutia bidii
kwanza hawana wasanii wanafanya maigizo tuππHivi kuna msanii wao hata mmoja aliyekuja tz kufanya show?