Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

apa haijafika ata kisumu inahema ivi, uganda itafika kwel? au unasemaje Wajackoyah
 
ni pesa ya meza imeliwa ama shida ni nn, kwna mmefanya kosa gan mpaka serikali imewawekea meza nusu

basi mpe uraisi huyu miss kenya
 
inabidi mkatambike, ni wap mlikosea mizimu
 
na mtu wa kuchora mkamlipa kabisa

mwishowe mkatamani ya watu

watu washamove mpaka kwa gas
 
I realized the kind of a guy he was and stopped engaging him, siku hizi naona kazi ni kunitag tu akitaka attention yangu but simpatii.
 
I realized the kind of a guy he was and stopped engaging him, siku hizi naona kazi ni kunitag tu akitaka attention yangu but simpatii.
sasa mm nimefanya nn 🤣 🤣 🤣 au kuna picha nimeweka ya uongo kwamba nawasingizia 🤣🤣🤣 au ni hasira za SHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…