Hata hao wenyewe wako embarrassed with their stadium, they are now blaming the cameraman ๐๐๐Ze most modern stadium in ze whole of Africa๐๐๐๐... View attachment 3532816View attachment 3532817
But you got the inferior SGR, that's why it's stalling everyday ๐๐Time will tell hatupigi kelele SGR ilikuwa hivihvi!
Unataka kukataa tunawalisha? Na mtatrmbeza Bakuli Tanzania? Kulula iliishia wapi vile?Huku si praise and worship kama kwenu, kuna UHURU WA HABARI na uwezo wa kukosoa serikali
Hamna news hapo,
Ilibidi tupelekee mechi zingine tunguu kaka tumfurahishe kamanda ๐Hata mimi nashangaa Afcon Dodoma ingetangaza SGR, Msalato airport na Jiji la Dodoma!
Nasikia Kagame anazengea zengea. Huenda Afcon isifanyike Kenya. Yetu macho tutaona. Maana Wakenya waliamua kupiga siasa kwenye media. TZ imeamua kwenda chinichini. Mtakuwa mnasikia kilio tu.Ilibidi tupelekee mechi zingine tunguu kaka tumfurahishe kamanda ๐
Hata kule kunastahili kumbuka malazi kule ya kumwaga na hata infrastructure is on top! ila na Dodoma pia ingekuwepo pamoja na kwamba malazi Dom bado yanazingua!Ilibidi tupelekee mechi zingine tunguu kaka tumfurahishe kamanda ๐
Hamna mtu yuko embarrassed kitu kikiwa kinajengwa! Tunasubiri kikamilike!Hata hao wenyewe wako embarrassed with their stadium, they are now blaming the cameraman ๐๐๐
View: https://x.com/i/status/2014241697249583407
overall nyie wote ni praise and worship, tukisema apa mna njaa, hua mnajibu nn ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃHuku si praise and worship kama kwenu, kuna UHURU WA HABARI na uwezo wa kukosoa serikali
Hamna news hapo,
leta daily dose za talanta inside ๐คฃHata hao wenyewe wako embarrassed with their stadium, they are now blaming the cameraman ๐๐๐
View: https://x.com/i/status/2014241697249583407
kaza sauti mbna unaongea kwa kujiiba, you mean this ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBut you got the inferior SGR, that's why it's stalling everyday ๐๐
kama utan vile, alafu wakasema temporary seats ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
sasa unacheka kwan uwanja umeisha, kuna watu washaweka mpaka seats๐คฃ๐คฃ๐คฃ
ilikua kwenye news jana ITV, nmeipost apaEconomy on Paper, Hunger in the Stomach
WFP Warns of Unprecedented Hunger in 2026, Kenya Named a Top Hotspot
As the UN World Food Programme projects a staggering 318 million people will face acute hunger globally in 2026, a new report identifies Kenya as a crisis hotspot, with millions of its own citizens threatened by drought, high food prices, and conflict.
hua mnasumbua sana kwenye kulipa, most of the market tz has shifted it to other countries! btw ilikua jana kwenye news huu mwaka might be bad sasa ndo mtajua GDP sio chapoo dondooKuomba ama kununua?
inaishaje mtu ana usafiri huukwani hii battle bado haijafikia muafaka๐, yani imeanza toka nipo sekondari mpaka leo ni miaka 9 na theluthi๐
Hiyo picha hapo juu ndio makao makuu ya jeshi Dodoma?View attachment 3532521
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 20 January 2026, amefanya ziara za kikazi kutembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo na Mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi yenye hadhi ya "Ngazi 4" Msalato,jijini Dodoma.
Katika ziara yake hiyo ya kutembelea Miradi hiyo inayotarajiwa kukamilika hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi na JKT aliambatana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Othman pamoja na viongozi wengine waandamizi toka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga na JWTZ.
View attachment 3532522
View attachment 3532523
kuna wengine uku wameweka visiti foodJuu Rwanda walisema Visit Rwanda pia nyinyi mmeona muweke hiyo? Kwani hamna creativity ya kutoa slogan yenu? ๐คฃ ๐คฃ