Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
una hasira sana broHamna kitu nyie malofa mnatia huruma mioyon mkija jf ndio mnajitutumua kaa mtu anakata gogo hahahahaha
Sio chuki boyaa wewee ...tunawambia ukwel ka mlivyokua mnatwambia enzi zile na tunakua wapole..bt now lazma ukwel muambiwe maana mmekazania kujisifia wakat mnajua percentage za economic growth yenu haiend ka ilivozoeleka zaman ...watz tunataka muamke ka mlivyotuamsha sisi maana nyie sifa zmezid hadi mmebweteka ..shaur yenuuuhasama na chuki kati ya wakenya na wabongo ila hatujawahi hayta kuenda vitani...wanajshi wa Kenya wamo Soali na Sudan...wanajeshi wa tz wamo DRC na Burundi...ila chuki nzito ipo kati ya wakenya na watz....
mbona hasira pimbi wa Tandale?Sio chuki boyaa wewee ...tunawambia ukwel ka mlivyokua mnatwambia enzi zile na tunakua wapole..bt now lazma ukwel muambiwe maana mmekazania kujisifia wakat mnajua percentage za economic growth yenu haiend ka ilivozoeleka zaman ...watz tunataka muamke ka mlivyotuamsha sisi maana nyie sifa zmezid hadi mmebweteka ..shaur yenuu
Unahisi kila mtu anakaa manzese eehhh polee anko bt unajua nn mi naona ka wakenya mmeridhka na huo udc wenu kiasi kwambaa hamjali maaisha ya mmoja mmoja ...tatueni matatzo ya mtaan hayo mambo ya kusomaga data zko juu wakati reality unaijua hapo hamtukomoi sisi bali mnajidanganya wenyeweuna hasira sana bro...sijui maisha yamekuwa magumu Manzese? punguza pressure ndugu....umaskini ukiongezea hasira na pressure unakufa hata kabla ya miaka 40... usipumue joto hivyo cool down...this is just a forum bro
Infact ile gap inaendlea kupanukaSio chuki boyaa wewee ...tunawambia ukwel ka mlivyokua mnatwambia enzi zile na tunakua wapole..bt now lazma ukwel muambiwe maana mmekazania kujisifia wakat mnajua percentage za economic growth yenu haiend ka ilivozoeleka zaman ...watz tunataka muamke ka mlivyotuamsha sisi maana nyie sifa zmezid hadi mmebweteka ..shaur yenuu
Megundua kuelewa umeelewA sema unaleta usimba na uyanga ...unaniulza nipo kazin saa tatu huku tunaanza kaz saa moja au unadhan wote waajiliwa humu hahahahahahmbona hasira pimbi wa Tandale?ushaenda kazini kweli? mnakua kwa haraka sana bro nakubaliana ila mbona kiuhumi hamjawahi kuifikia Kenya?
Hongeren majirani wetu matajir hahahahahahahahahah
nanyi mtatue ya omba omba watz waliojaa Nairobiππππ...tumewalisha ya kutoshaUnahisi kila mtu anakaa manzese eehhh polee anko bt unajua nn mi naona ka wakenya mmeridhka na huo udc wenu kiasi kwambaa hamjali maaisha ya mmoja mmoja ...tatueni matatzo ya mtaan hayo mambo ya kusomaga data zko juu wakati reality unaijua hapo hamtukomoi sisi bali mnajidanganya wenyewe
Warudishen tu hom hatujawakatazananyi mtatue ya omba omba watz waliojaa Nairobiππππ...tumewalisha ya kutosha
aliyesema wewe kaajiriwa nani?ππππyaani matatizo yamezidi mpaka unajikanganyaππMegundua kuelewa umeelewA sema unaleta usimba na uyanga ...unaniulza nipo kazin saa tatu huku tunaanza kaz saa moja au unadhan wote waajiliwa humu hahahahahah
huwa tunawakamata ila wanarudi na vikombe vyao toka Kariakooπππ naona uchumi unakuwa bro mko sawa sana bro mpaka mna export beggarsπππmakofi kwenu broπππWarudishen tu hom hatujawakataza
Hahahahahaha sawa jirani tajiri ...tutasema nn sisi ldc kwenu nyie dc ..hahahahaha mgema akisifiwa....................(malizia hiyo )aliyesema wewe kaajiriwa nani?ππππyaani matatizo yamezidi mpaka unajikanganyaππ
vipi lakini kuhusu Lissu? alipona?πππHongeren majirani wetu matajir hahahahahahahahahah
Hahahahaha beggars wa tz wana hadi nauli ya kurudi huko hahahahaha basi sababu c majiran basi tunaomba mwendelee kututunzia ndugu zetuu au siohuwa tunawakamata ila wanarudi na vikombe vyao toka Kariakooπππ naona uchumi unakuwa bro mko sawa sana bro mpaka mna export beggarsπππmakofi kwenu broπππ
ubaya yenu bro nikujifanya mko sawa kimaisha ila hali halisi sivyo..ππ.huwez ukamdangaya jirani broπππHahahahahaha sawa jirani tajiri ...tutasema nn sisi ldc kwenu nyie dc ..hahahahaha mgema akisifiwa....................(malizia hiyo )
Pwahahahaha mbona wamekwamilia Nairobi broπππswali rahisi sana...Hahahahaha beggars wa tz wana hadi nauli ya kurudi huko hahahahaha basi sababu c majiran basi tunaomba mwendelee kututunzia ndugu zetuu au sio
Tunashukuru ndugu yetu anasimama siku hizi...mbona nyie kenya noma madaktar wenu wako fit sana tunawashukuru aseee jiran..vipi lakini kuhusu Lissu? alipona?πππ
Hili povu sasaubaya yenu bro nikujifanya mko sawa kimaisha ila hali halisi sivyo..ππ.huwez ukamdangaya jirani broπππ
omba omba wamejaa Nairobi
Lissu na opposition leaders wamefinywa finywa makende mpaka hawawez fungua mdomo kamwe
media walishanyoroshwa
waimbaji wamekamatwa mpaka wamekimbilia wote afrika kusini...
kisha uje utudanganye kuwa maisha tanzania ni mazuriππππsio sisi...wadanganye wengine broππ
MOla amfariji...alafu vipi kuhusu albino bro? mlikoma kuwasaka kama wanyama?πππ Tanzania nchi bora zaidi dunianiπ±πTunashukuru ndugu yetu anasimama siku hizi...mbona nyie kenya noma madaktar wenu wako fit sana tunawashukuru aseee jiran..