The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Haya, tuambie Ile ya coat of arms yenu ni ya kabila Gani.ππNgao ya kizulu ni tofauti na ile ya kisukuma, au ya kimasai, sasa nilitaka kujuwa kama hii yenu inawakilisha ngao ya kabila fulani ama laa? You seem triggered though. I wonder why?
Football nation πππΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯π₯π₯Haya, tuambie Ile ya coat of arms yenu ni ya kabila Gani.ππ
Morocco tunamtoaWakenya endeleeni kusubiri stars ishinde mechi kule Afcon ππππππ°πͺπ°πͺπππ©π©
mkuu mm mtanzania mwenzako, tumia lugha nzuriKQ the pride of Ukunduni!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1023906979936289
Ukunduni means a place with red color i.e. KQ! Like Dogo Kundu! The pride of Dongo Kunduni! Wacha kimbelembele!mkuu mm mtanzania mwenzako, tumia lugha nzuri
Huyo mgeni hajui humu huwa tunapiga panapouma.Ukunduni means a place with red color i.e. KQ! Like Dogo Kundu! The pride of Dongo Kunduni! Wacha kimbelembele!
acha hizo mkuu, sisi ni watu wastarabu kama watanzania hatuna malezi ya kutukana ovyo, ushindani uendelee katika lugha nzuri inapendeza zaidi, pia unaonekana una point kubwa ya kuelezeaUkunduni means a place with red color i.e. KQ! Like Dogo Kundu! The pride of Dongo Kunduni! Wacha kimbelembele!
matusi hapana, kuna vingi vya kushindana bila kuweka matusiHuyo mgeni hajui humu huwa tunapiga panapouma.
Hatuna cha kupoteza mzee, tutapambana naye kucha kwa kucha, mdomo kwa mdomo, pua kwa pua, no retreat no surrender.Morocco tunamtoa
Haya, tuambie Ile ya coat of arms yenu ni ya kabila Gani.ππ
Alikujibu niite πNgao ya kizulu ni tofauti na ile ya kisukuma, au ya kimasai, sasa nilitaka kujuwa kama hii yenu inawakilisha ngao ya kabila fulani ama laa? You seem triggered though. I wonder why?
wee tafuta umaarufu na handle yangu Ukunduni ni jina la mahali kama unavyosema Dongo Kunduni!matusi hapana, kuna vingi vya kushindana bila kuweka matusi