Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass MUST ni chuo kikubwa sana hapa Tanzania, linapokuja suala la Engineering, tuna vifaa vya kutosha na miundombinu yote, na kimezalisha mainjinia wengi sana Tanzania since Russians walipokijenga mwaka 1986. Unlike SUA and UDSM we are focused mainly on Engineering and other Technology courses
 
Toa VPN kwa simu. You are a slave in your own country.
 
The

very beautiful city, the only way one can tell that its in a developing country is the small area with shacks
actually the most beautiful rendered





btwn do you know its voted as the city with the worst smell in africa?
 
Kutopangilia mji ni kosa la serikali sio mwananchi anaenunua kiwanja. Sheria za mipango miji zipo ila rushwa na uzembe serikalini ndio sababu hazifuatwi. Hata huduma serikali ndio jukwaa lake. Zoezi la kuweka address sasa hivi hadi porini huko mitaa ina majina na namba. Hata unayoiona haina ukienda serikali za mitaa utapiewa jina na namba.
 

hakuna mahali nimelaumu mwananchi, najua ni kosa la serikali kuruhusu kila mtu kujenga vibanda kiholela kila mahali.

siyo kila mahali ni pakujenga kila kibanda, dar ina square km >1500 ni nyingi sana lkn hakuna hakuna park ya watu kupumzika, viwanja vya michezo vya watoto na vijana vyote vimejengwa vibanda, ukiangalia bird eye view ya dar unaweza kulia, ushawahi kutua dar na ndege halafu ukaangalia chini mabati kutu kila mahali, not good.

ukiingia dar unatokea nje ya nchi kwa hali ya kawaida mtu anakuwa na shauku ya kuona mji lkn kuanzia kibaha kushuka haivutii kabisa, vibanda, gereji bubu kila mahali magenge ya nyanya na mkaa just chaos, ukiangalia mabondeni kimara wamejenga kiholela no planning, mji una watu zaidi ya milioni 5 lkn hakuna highway system ya kuzunguka mji, kuna watu wanatumia masaa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku kwenye usafiri tu, not good, dar siyo mji beautiful kabisa yaani, na ukiniuliza mimi dar is a lost cause, labda tujaribu dodoma na miji mingine kwa kujifunza kutokana na makosa tuliofanya โ€ฆ
 
Lakini umesema sio kila mwanachi lazima anunue kiwanja ajenge ndio sababu ya uholela. Uholela ni uzembe wa serikali na sio wananchi kununua viwanja na kujenga. Hayo yote uliosema hapo juu ni uzembe wa serikali.
Na kuondoa hio yote ni serikali inayoweza kuondoa hizo unplanned settlements.

Walichofanya Magomeni Kota wanaweza kufanya sehemu nyingi jijini. Kenya wanafanya hivyo Nairobi we still have time.
 

dar ya zamani ilikuwa poa, well planned mfano magomeni, ilala, temeke, mpaka kinondoni, mwananyamala, sehemu za kurasini, changombe yote sawa shida ilikuja walipoanza kuvuka mipaka ya dar original na kuongeza mfano sinza ni mpya pia walijaribu plan ya sinza ni nzuri sema pia wameiharibu kwenye ramani ya sinza original kuna maeneo ya wazi kwa ajili ya parks, viwanja vya michezo kwa ajili ya watoto lkn wamejenga kote, mbezi beach tulikuwa tunaita nje kidogo ya jiji la dar leo hii huwezi kuita mbezi beach hivyo imeshaungana na kawe, na mbezi beach ilikuwa posh klk hata masaki ukiangalia ramani original ya mbezi beach haina mfano very nice ila utekelezaji sasa wakaanza kujenga kwenye mito ambayo inatoka mbezi juu huko kibaha kueleka baharini na kuiziba yote matokeo yake mvua zikianza mafuriko maji hayana pa kwenda ingawaje bahari iko hapo hapo lkn maji yanajaa barabarani ramani original ya mbezi beach inaonyesha mito inapopita, leo hii wamejenga kwenye eneo la mikoko na ambalo kisheria ni hifadhi halipaswi kuguswa na wamejenga mavila.

kwa maoni yangu mbezi beach ilipaswa kuwa mpaka na dar isingeruhusiwa kukuwa tena zaidi hapo bali tungepaswa kuwekeza kwenye eneo lililopo, angalia mfano upanga ilivyojengwa na kupangwa vizuri kama kila mtu angejenga kibanda chake upanga unafikiri hali ingekuwakje leo hii? tulipaswa tujenge upanga nyingi halafu tutenge maeneo maalumu kwa familiy homes ama bungalows, kigamboni ilikuwa ni chance nzuri lkn nako ni vile vile tu ujenzi holela, eneo zuri lkn tunaharibu ...
 
Wow! Hebu take a look at that westlands skyline!.... na bado utapata kuna mtu anaamini hapa bado kuna battle๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ ikifika kwa mambo skyscrapers Nairobi slowly inatoka league ya Africa inaingia East Asia, joburg yenyewe alisha surrender bado Cairo tu...just 2 or 3 supertalls Nairobi will be done with Cairo...below you can find more and more unboxing of Christmas goodies๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡...
Mogotio oasis residential twin towers+1 ๐Ÿ‘U/C westlands The Luminara U/C๐Ÿ‘ westlands personally my favourite building U/C in westlands Nairobi The SIB tower!just take a look at those curves๐Ÿ˜๐Ÿ‘๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ