Wewe jamaa huwa ni mpumbavu sanaOld settlements indeed. Old settlements wakati Google earth images show such houses dottting the entire dar skyline. From Bugurini, Tandika, Keko, Mwananyamala, Manzese, Tandale, Yombo, Tabata, Mabibo nk, ni wapi sio uswazi? Hizo "proper" hoses mnazojenga mnazijenga hewani?
Mtu wa kawaida anaetaka kujenga Dar sasa hivi atajenga nje ya mji kama Kigamboni,Goba,Madale, Mbweni ambapo kumepimwa. Huko uswazi pamoja na kuwa hovyo inabidi ununue nyumba ya zamani uivunje na ni gharama kuliko kununua kiwanja na kujenga nje ya mji.Old settlements indeed. Old settlements wakati Google earth images show such houses dottting the entire dar skyline. From Bugurini, Tandika, Keko, Mwananyamala, Manzese, Tandale, Yombo, Tabata, Mabibo nk, ni wapi sio uswazi? Hizo "proper" hoses mnazojenga mnazijenga hewani?
Hivi tukuoneshe hayo maeneo sasa hivi kwa ground yapoje!?Old settlements indeed. Old settlements wakati Google earth images show such houses dottting the entire dar skyline. From Bugurini, Tandika, Keko, Mwananyamala, Manzese, Tandale, Yombo, Tabata, Mabibo nk, ni wapi sio uswazi? Hizo "proper" hoses mnazojenga mnazijenga hewani?
Haya ndio mambo ya kufanya kama nchi. Haiwezekani karne ya 21 highway city to city inakuwa single lane kama barabara ya mtaani.Can’t waitView attachment 3518829
Olympic standards maneno! Pale Ukunduni wanaiga global giant football clubs ngoja tuone Talanta kama ita-survive!Naangalia Afcon leo mechi ya tatu,kila uwanja una running track! Hawa Moroko vipi tena? Alisikika nyang'au mmoja akiropoka.
Bongolalalas will never comprehend the Kenyan culture of land ownership. It’s like a sacred experience.Land is owned by the rich and politicians 🤣🤣🤣🤣
Voice of consolation from a bongolala
Oya, I own several acres of land back home. I don't know whether I should classify myself as a politician or as a rich person
Naangalia pia hapa SA Vs Angola uwanja una mashabiki wachache sana.Naangalia Afcon leo mechi ya tatu,kila uwanja una running track! Hawa Moroko vipi tena? Alisikika nyang'au mmoja akiropoka.
Afrika matatizo yetu ni yale yale sema hawa kenge wanajitoa ufahamu. Hapa mechi zitalazojaa ni za Morocco tu labda na kuanzia semi finals. Nibwaafrika wachache sana wanaweza kusafiri na timu zao . Hii ndio sababu caf champions league na confederation finals zinachezwa home and away ili home teams zijaze uwanja vinginevyo ikiwa neutral ground kuba hatari finals kukosa watazamaji uwanjani.Naangalia pia hapa SA Vs Angola uwanja una mashabiki wachache sana.
Wanuka mavi mbona hawalalamiki! 😂😂😂
1)I don’t know where you got the perception that land in Kenya is owned by politicians and the rich only.Don't twist my observation. Land is plenty in Tz anyone can own a plot unlike Kenya land is owned by the rich and politicians so it make perfect sense to buy apartments in Dar we build our own houses mostly.
Naangalia Afcon leo mechi ya tatu,kila uwanja una running track! Hawa Moroko vipi tena? Alisikika nyang'au mmoja akiropoka.
U r not a football nation that stadium will go to waste!
So zenu ndio will not go to waste?U r not a football nation that stadium will go to waste!
Sasa muandae na timu sio mnaanda tu uwanja timu hamuandai si mnaona mpira unaopigwa ukoSo zenu ndio will not go to waste?
Sasa muandae na timu sio mnaanda tu uwanja timu hamuandai si mnaona mpira unaopigwa uko
hii nliiona aisee na wakavunja kioo gari za azam, So bad!
Hakuna hakuna timu? Alafu Nani amekuambia Talanta will only be for sports? Concerts will also be held there.Sasa muandae na timu sio mnaanda tu uwanja timu hamuandai si mnaona mpira unaopigwa uko
Hii movie si ilishatokea kasarani, the end game ilikua nn?Hakuna hakuna timu? Alafu Nani amekuambia Talanta will only be for sports? Concerts will also be held there.